Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukunyan hakuna BRT system,ukunyan hakuna electric train,ukunyan ndipo inapopatikana big slum in the world 🤮🤮

Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.

Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
 
Tofautisha freedom na ukosefu wa adabu.
Yani Trump ana miaka 80 anatukanwa na kubagazwa na wananchi wake waziwazi maana ni mtumishi wao.

Ruto nchi yake iliyoendelea kuishinda Tanzania Rais wake wa sasa na aliyepita anatukanwa na kubezwa kwa makosa ya kiutendaji na hafanyi kitu zaidi ya kuwa prove wrong

Ije kuwa Samia mwenye miaka 66? Mdogo kuliko baba yangu na mama yangu ndo asibezwe awe Mungu aimbwe na kila mtu?

Samia ambaye miaka 80 hatokaa aifikishe ni Mungu Tanzania yani hata ukimuita tu Rais wa hovyo wewe umepotea huyo si Mungu sasa maana Mungu ndo hadhihakiwi
 
kule hawachapi watoto uku unakula stiki, ukitaka kutukana president nenda kwa trump ila as long upo apa utajifunza kuishi kwa adabu na kila mtu kwa kufuata sheria zote
 
Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.

Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Lets make a left turn, your are skipping some info









NN kingine wamekwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…