joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Waambie hao waandishi wa Kenya walioandika habari hii katika gazeti la Kenya kwamba ni mambo ya kitoto. Hivi SGR kukosa mizigo ambayo ndiyo yenye kuingiza faida kubwa ni jambo la kitoto?, jambo gani ungependa kusikia kati ya njaa, tribalism, corruption, insecurity, unemployment, slums, poverty, NASA vs Jubilee?Post vitu mature si kujaza utoto hapa
Acha maneno yako wewe, kama kweli gharama za SGR zipo chini kuliko za barabara, businessmen would scrumble for it from day one, actually it would be full booked before it starts service.Ukitaka watu washift kwa road to rail mara moja...
vitu hutake time like 6month period..jinga sana
Sawa,jengeni yenu kwanza, Ethiopians ndio wanafaa kuongea sio nyinyi hapoLool, I didn't know you this Lunatic.. Watu siku zote wanaangalia Urahisi, Efficiency and Time Saving. Hii Treni yenu ya 70s doesn't meet majority and Today's world demands. The business will never be favourable. First its Old na very Expensive compared with the Road wakati SGR is meant to be Fast, Cheap and Time saving.. I wonder where's your 2Billion education budget go. You seriously need some education
huyo msee ana muchene kama mama wa plotSawa,jengeni yenu kwanza, Ethiopians ndio wanafaa kuongea sio nyinyi hapo
nilitegemea kutokana kwanza itasave muda, itakua safe zaidi na pia itakua cheap ili kuwavutia wafanyabiashara kuitumia zaidi lakini imeshindikana, sababu kubwa ni kua ili irudishe pesa inabidi iwe mupandishe bei nje ya hapo hlo deni mutalipa 50yrsππππππUkitaka watu washift kwa road to rail mara moja...
vitu hutake time like 6month period..jinga sana
Kauli kama hii inatolewa na mtu aliyekata tamaa.Sawa,jengeni yenu kwanza, Ethiopians ndio wanafaa kuongea sio nyinyi hapo
hatuna wivu lakini huo ndio ukweli na ukweli lazima uchome so vumilia tuπππππWivu dhidi ya kenya haitawasaidia kamwe.
Alafu don't ever compare Ethiopia & Kenya SGR.. Ni sawa na Ku compare Ushuzi na Marashi.. Hiyo yenu haina hadhi ya kuitwa SGR ni uchafu.Ni aibu kubishana na watu wakati ya kenya na Ethiopia ndio pekee ishaanza kazi.
JENGENI YENU BY 2020 NDIO MZUNGUMZE..
period
Trying to hold Total hostage with those theatrics for oil exploration won't work juu kazi ishakamilika Hoima Lokichar Lamu pipeline, mambo ya kungoja za bwerere mpeleke huko vijiweni... Huu mchezo hautaki kupe.labda ulikua hujuiπππππ
Tanzania and DRC Sign MoU for Oil and Gas Exploration in Lake Tanganyika - TanzaniaInvest
Uzuri ni mtanzania anaongea.Alafu don't ever compare Ethiopia & Kenya SGR.. Ni sawa na Ku compare Ushuzi na Marashi.. Hiyo yenu haina hadhi ya kuitwa SGR ni uchafu.
Haha ati nn?Ata hapo Dar imepigwa bao na Arusha.
hakuna highway nzuri hivyo Dar
Jitahidi uandike kisw ueleweke,inakaa pikipiki what is that mean?smhlol......what the hell are those......moja inakaa pikipiki race course
[emoji38][emoji38]Alafu don't ever compare Ethiopia & Kenya SGR.. Ni sawa na Ku compare Ushuzi na Marashi.. Hiyo yenu haina hadhi ya kuitwa SGR ni uchafu.
2019 bro 1st phase and second phase 2020 naomba plz umia taratibuππππππNi aibu kubishana na watu wakati ya kenya na Ethiopia ndio pekee ishaanza kazi.
JENGENI YENU BY 2020 NDIO MZUNGUMZE..
period
where is hoima lokichar pipeline???πππTrying to hold Total hostage with those theatrics for oil exploration won't work juu kazi ishakamilika Hoima Lokichar Lamu pipeline, mambo ya kungoja za bwerere mpeleke huko vijiweni... Huu mchezo hautaki kupe.