Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ng'ombe wa north ni wachafu sana.
Screenshot_20250503-151455.png
machafu wa north,wengine hata kupiga mswaki shida,angalia walivyo washamba,na miheadphone yao ya waya!
downloadfile-143.png
 

Huyu Peter Foti Mushi ni kweli ametekwa na ni mtu namfahamu kwa ukaribu na tuko na contact na familia yao. Ila watekaji na wauwaji ni kikundi kinachofadhiliwa na foreign organization(s) kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Baada ya kuwateka, watu wa kwanza kupewa habari na clips zautekaji huu ni hili genge la Chadema.
All in all ni kundermine Tanzania, CCM na serikali zake, iliyopita na hii ya sasa.
 
Huyu Peter Foti Mushi ni kweli ametekwa na ni mtu namfahamu kwa ukaribu na tuko na contact na familia yao. Ila watekaji na wauwaji ni kikundi kinachofadhiliwa na foreign organization kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Baada ya kuwateka, watu wa kwanza kupewa habari na clips zautekaji huu ni hili genge la Chadema.
All in all ni kundermine Tanzania, CCM na serikali zake, iliyopita na hii ya sasa.
btw izo ni cheap politics sku izi ndo maaana wale activist wakijaga uku wakirudi kule lazima waite media maana lazima wale kichapo kwel kwel
 
Hiyo issue ya remittance za Kenya KSh 1.52 billion nataka niieleze kidogo. Naruhusu kusahihishwa

Pesa iliyopatikana nchini kwa wafanyakazi wa kikenya wanaofanya kazi ni Tsh.
Sasa kuisafirisha kutoka kwenye uchumi wa Tanzania ili iende kwenye uchumi wa Kenya; kwenye transfer ya pesa nje ya nchi kunahitajika settlement.

Let say Mkenya yupo na account CRDB na anataka kutuma hiyo pesa kufikia KSh 1.52 billion inatakiwa equivalent assets kutoka Kenya yenye thamani ya hiyo pesa itakayoingia kwenye uchumi wa Tanzania.

Kumbuka wakenya itabidi watupatie USD, Gold na asset abazo zinakubalika na BoT settlement.

So wakenya watafaidika na Expenditure but Tanzania itabaki na Assets.
Assets hizo zinaweza kuingizwa kwenye Nostro au Vostro Account kwaajili ya manunuzi ya bidhaa za nje.

Nipo tayari kurekebishwa
 
Unakaa 24 hours kutafuta agenda zitakazo kufariji, zitakazo kufanya ujisikie nchi yako ni superior.

Heal brother. Kumbuka kiasi gani tunawapa maisha. We just beat Saudia on remittance. Kuwa na heshima bro!! Hatushindwi chochote hata ukiwa hapo, capital city ya everyone rogue!!
You just beat Saudia in what! Now look at this one claiming the benefits of hard working Kenyans 😅
1790109125759.gif
 
Tanzania imekuwa majuu ya Kenya. Mkenya akija Tanzania anaaga anaenda majuu kusearch for greener pastures
Hata huyu mwaiofhawaii haikuwa lazima ukimbilie Marekani, ungekuja tu Tanzania
View attachment 3675953
Its laughable when people take credit for another person's excellence.

That's the product of an educated aggressive capitalistic individuals. Only if you stopped exporting beggars and educate your population to produce more productive individuals, perhaps you will experience similar results..

why is it that You don't see Tanzanians bringing home anything anywhere in this globe? Is it because nyinyi hamna majuu? 😅
 
View attachment 3675993machafu wa north,wengine hata kupiga mswaki shida,angalia walivyo washamba,na miheadphone ya ya waya!View attachment 3675994
Mganga umeamka 🤣
Kusorora picha moja kwa miaka mitano (picha ya miaka kumi iliyopota) is the lowest form of miserable projection I have ever seen 😅

To make it worse, you are not showing us your picture in comparison, so that we know the standards for a perfect picture.

This is what’s known as a fallacy
 
Huyu Peter Foti Mushi ni kweli ametekwa na ni mtu namfahamu kwa ukaribu na tuko na contact na familia yao. Ila watekaji na wauwaji ni kikundi kinachofadhiliwa na foreign organization(s) kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Baada ya kuwateka, watu wa kwanza kupewa habari na clips zautekaji huu ni hili genge la Chadema.
All in all ni kundermine Tanzania, CCM na serikali zake, iliyopita na hii ya sasa.
Kikundi ipi
 
Back
Top Bottom