stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,548
- 39,805
Tunawaacha wajitafutie ridhiki, lakini wanaleta jeuri. Tukikaza kidogo tu; kilioSana. Mwanza huko ndio wamejaa hadi wamesahau Kenya kabisa
Hujawahi kujiuliza kwann tunawadhalilisha and they cant do anything 🤣 🤣 🤣Tunawaacha wajitafutie ridhiki, lakini wanaleta jeuri. Tukikaza kidogo tu; kilio
Tell me you are a descendant of kijengitile ngwale without telling me 🤣
The legend lives on 😅
View: https://x.com/east_facts/status/1362609045337743360?s=46
Hawana ujanja wowote tukiamua kuwapiga pin na ndio maana Serikali yao huwa inaongea kwa upole sana linapokuja jambo kuhusu Tanzania.Hujawahi kujiuliza kwann tunawadhalilisha and they cant do anything 🤣 🤣 🤣
“Niende Tz nikado what” 😂😂😂Tanzania imekuwa majuu ya Kenya. Mkenya akija Tanzania anaaga anaenda majuu kusearch for greener pastures
Hata huyu mwaiofhawaii haikuwa lazima ukimbilie Marekani, ungekuja tu Tanzania
View attachment 3675953