Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂 Ati we rely on Kenya for super skilled labor. You're so funny Beyonce
 
The correct phrase is "I think English is a problem for you."
Cc stakehigh
 
Huyu Peter Foti Mushi ni kweli ametekwa na ni mtu namfahamu kwa ukaribu na tuko na contact na familia yao. Ila watekaji na wauwaji ni kikundi kinachofadhiliwa na foreign organization(s) kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Baada ya kuwateka, watu wa kwanza kupewa habari na clips zautekaji huu ni hili genge la Chadema.
All in all ni kundermine Tanzania, CCM na serikali zake, iliyopita na hii ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…