Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndo yeye? mbna kaisha ivo anakula kwel?
Hungry people wanashida sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Umekula kweli?
Jibu kwanza swali maana leo ninakuja kukukalisha. Umekula? leo?
Umekula kweli?
Jibu kwanza swali maana leo ninakuja kukukalisha. Umekula? leo?
Story za 1961 unazileta leo? Umekula?
Mbona mnakuanga obsessed na chakula?
Sanasana huyu President of China . Inaonekana huwa mnaproject, I think it’s safe to say that inainekana huko kwenu kula ni kitu cha thamani sana na sio kitu cha kawaida, ndio maana mnashinda mkiuliza kama mtu kala.
Yaani huko mtu akila mnaona kama yeye ndio kusema sasa😅
Mpaka msee anauliwa akiomba chakula!

View: https://x.com/thecitizentz/status/2099508742748311813?s=46
 
unatia huruma

View: https://www.youtube.com/watch?v=TEjiTIj0DyY&pp=ygUMa2VueWEgaHVuZ2Vy
 
kwahio ulisema KDF wamefanyaje tena 😂😂
 
kumbe walikua 180


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…