El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Tunajua hata Bakhressa ni msukuma.
wakati vijiji tanzania vikipatahttp://allafrica.com/stories/201601251288.html
maji na salama kwa wenzetu ni mwaka mmoja nairobi mjini hakuna maji😀😀😀😀😀😀
View attachment 683025
Hamna mpyaa. Tumewararua😀😀😀wachochole wa Nyerere😀😀😀😀😀LDC capital...Mungu ibariki tanzania
Mungu ibariki Kenyaeconomy ya Tanzania imeshikiliwa na Omani Arab citizens who happened to have settled in tanganyika.....The Bakhresa and the chain of Arab families.....wachagga na sukuma kitu wanaweza fanya ni hawking na kuwa maids.....elimu pia hawana...lakini wanaweza sema.. "mungu uirinde Tanzania"......
economy ya Tanzania imeshikiliwa na Omani Arab citizens who happened to have settled in tanganyika.....The Bakhresa and the chain of Arab families.....wachagga na sukuma kitu wanaweza fanya ni hawking na kuwa maids.....elimu pia hawana...lakini wanaweza sema.. "mungu uirinde Tanzania"......
Wacha Ku.copy ..we kibwegu nn???!Mungu ibariki Kenya
But there is still unemployment,poverty social crime due to unemployment [emoji23] [emoji23] [emoji23] what's the freaking hell are you talking nigga??Tanzania will never catch up with Kenya even in 100 years. Apart from Dar nothing happens in other towns. Arusha, Moshi, Mwanza ni maduka ya nguo na duka za kawaida tu. Google about Mombasa, Machakos, Nakuru, Eldoret, Kisumu, Thika, Kisii, Meru, Naivasha, Nyeri, Malindi ndio mtakubali Kenya is a powerhouse.
East Africa’s dollar millionaires 2016
- Business Daily (Kenya)
- 13 Nov 2017
KENYA HAS MORE DOLLAR MILLIONAIRES THAN UGANDA, TANZANIA AND RWANDA COMBINED
Nionyeshe Msukuma Dollar millionaire.Bakhresa kazaliwa Tz, Wazazi wake wameishi Tz miaka na miaka Tangu ukoloni na utumwa.. Sema tu kwamba asili yake ni ya kihindi
Vipi mwanaLDC?Hamna mpyaa. Tumewararua😀😀😀
Endeleeni kulala niggas na story zenu za kujifariji sisi tunachanja mbuga [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uhuru sio mtu mzuri kaona kisport pesa cha watu kinapata faida kakipandishia kodi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uhuru mungu anakuonaYou Tanzanians watch & read a lot of news on Kenya so as to feel motivated that at least they're doing something. Wakati makampuni ya Tanzania yataanza kwenda international like our banks, sportpesa, supermarkets ndio watatoka LDC.
What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city - CNN
Eric omondi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mtanzania yupi kavaa shati ya Kenya??😀😀😀😀
Wee nyamba2 lkn mnaisoma noBut there is still unemployment,poverty social crime due to unemployment [emoji23] [emoji23] [emoji23] what's the freaking hell are you talking nigga??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dude be serious sometimesBy next year Tanzania score will be 2.5, World ranking 10[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[/QUOTE]Kenya media does its work very well. Ukitazama news za Itv, star tv, tbc 1 utadhani watangazaji na reporters hawajaenda shule
Tausi ni ndege wangu ndege wangu wa thamani ndege umekisha mali sasa wataka nn?? [HASHTAG]#2000[/HASHTAG].Mshapoteana nigga tumewachapa sgr bomba la mafuta sijui mnataka nn.
Siku ile Kenya itaipita Tanzania kwakuwa na low rate of unemployment ndiyo nitajua Kenya inaendelea, ila kuwa na millionea wachache wakati millions ya wananchi wanaishi bila ajira na ukosefu wa chakula, bado Kenya itaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Maendeleo lazima yapimwe kwa wingi wa watu wanaofaidika, sio watu wachache kama Kenya, mtaendelea kuwa na high rate of poverty, crime and hunger because of unequal distribution of your national resources.Siku ile bongo lala wata2chapa kwa.idadi ya millionaire. Ndajua wameipiku Kenya....lkn otherwise hao matubiri 2
Eti Tanzania imeipiku Kenya kwa nn....niambie.... Jamaa was wivuSiku ile Kenya itaipita Tanzania kwakuwa na low rate of unemployment ndiyo nitajua Kenya inaendelea, ila kuwa na millionea wachache wakati millions ya wananchi wanaishi bila ajira na ukosefu wa chakula, bado Kenya itaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Maendeleo lazima yapimwe kwa wingi wa watu wanaofaidika, sio watu wachache kama Kenya, mtaendelea kuwa na high rate of poverty, crime and hunger because of unequal distribution of your national resources.