Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In your football league, out of 16 teams, 12 teams come from Nairobi alone, the rest of Kenya inagawana timu 4 tuu say a lot about everything revolves in and around Kanairo 😁
β€œbuilding stadiums in all the 47 counties as I type this.”
Hivo viwanja wanajenga 2026 ni vile viwanja CCM walijenga miaka ya 70 usikubali akudanganye. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wanajenga viwanja ambavyo havikidhi viwango vya CECAFA, sitaki kuzungumzia CAF wala FIFFA sembuse TFF. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwaambia we are their bosses hawataki kusikia. Unapata wanakwambia eti watatufungia mahindi tutalia yet wao ndio hulia.
You are at our mercy, even for Mahindi from Zambia. Zambia kama hujui iko mfukoni kwetu na ni wanafunzi wetu pia tukiwaambia waache hilo deal maramoja watasitisha mara moja bila kuomba ufafanuzi na pia mahindi yote yatapita kwa TZ.
 
Sasa mbona mnalialia kumadeep?
 
Ukiwaambia we are their bosses hawataki kusikia. Unapata wanakwambia eti watatufungia mahindi tutalia yet wao ndio hulia.
We usually tell them that mwenye pesa huwezikipanga. Sisi tukitaka tunawezanunua hata mahindi China and there's nothing they can do.

Ukiwaskia unawezadhani huwa wanatupatia mahindi bure, saa hii qanalia because timekataa kununua mahindi YaoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kupost statement inachukua dakika ngapi! Muda wa kushoboka unao ila wa kupost statements huna! Maajabu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You are very patient in wanting to scam me. Is this trait of stealing from runs across your family? Ama ni wewe pekee yako kwa familia yenu ndio mwizi?
 
Wacha kukariri mambo Nyamwezi
lakini has been a while hutak kupost nyasi shida nn 🀣🀣🀣 btw wakati nakwambia hio stadium ni ya viraka ulikua unabisha sana 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo maku ya Arusha iko approved?
Talking of locating everything in Nairobi wakati Kenya is building stadiums in all the 47 counties as I type this. Are you even listening to yourself?
stadiums ama cowsheds 🀣🀣🀣 hazina ata uwezo wa kuchezesha preliminary champions league match 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…