Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huo wa mkapa ni added effects, its supposed to be this way, na pia dar hatuna red vumbi kama yenu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 3668056


View attachment 3668058
Inapigwa barabara mpya na BRT ya kuleta mashabiki uwanjani. Sasa kule Ngong Road sijui watafikaje uwanjani au watatumia zile za kunguni?
 
Huu ni upupu gani umeandika.?
Mwambie aache ujinga if imported through Tz then importers in Tz will pay taxes in Tanzania if re-export to Ke occurs, then EAC customs rule of origin applies, which requires the importer to pay the same taxes that they sought to avoid in the first place to KRA, making the goods more expensive (taxed in TZ, then taxed in Ke)
 
Geuzwa Udinywe.
Hizi nchi zetu, politics mbaya sana Tz and Ug was finalizing a deal with VITOL for an energy hub in Tanga. Kenya got wind of that deal, wakamtumia Dangote aje afanye derailment ya hiyo deal, lakini ikashindikana na makubaliano ya kasainiwa. Tz huwa hatukurupuki katika maendeleo; we focus and plan accordingly, hatufanyi vitu kama fire brigade.

Vitol has now been chosen by Ug government to market its share of crude
 
Hiyo maku ya Arusha iko approved?
Talking of locating everything in Nairobi wakati Kenya is building stadiums in all the 47 counties as I type this. Are you even listening to yourself?
In your football league, out of 16 teams, 12 teams come from Nairobi alone, the rest of Kenya inagawana timu 4 tuu say a lot about everything revolves in and around Kanairo 😁
 
Niliwaambia wakakasirika. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dangote alishanusa ujenzi wa refinery kati ya Tanzania na Uganda, zile kauli za kaongo alikuwa katumwa tu kutest na kuvuruga, bahati nzuri madam President alishanusa huo mchezo ndio maana akamshushua kaongo.
 
In your football league, out of 16 teams, 12 teams come from Nairobi alone, the rest of Kenya inagawana timu 4 tuu say a lot about everything revolves in and around Kanairo 😁
β€œbuilding stadiums in all the 47 counties as I type this.”
Hivo viwanja wanajenga 2026 ni vile viwanja CCM walijenga miaka ya 70 usikubali akudanganye. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wanajenga viwanja ambavyo havikidhi viwango vya CECAFA, sitaki kuzungumzia CAF wala FIFFA sembuse TFF. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…