Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You just said comments hazitumiki kuprove ama huoni contradiction hapo? Unafaa kupigisha tizi hizo brain cells zako 🤣

Show me evidence, which kdf is that? not opinions bongolala. Ni department gani inatumia hizo uniforms? Air force? Navy and Army..
Jibu
I got tired of responding to him on this fake video..
He’s knows he’s full of it but it satisifies his little ego and drags the conversation into the mud , his comfort zone..
 
Kundustan wameumbuliwa na bwana Yao .Kisingixip na justification ya umaskini wenu kwamba hamna Utajiri wa resources (minerals) hakipo tena 👇👇
 
downloadfile-79.png
 
 
Umeahindwa na stadium yenyewe 😅
Alafu wanapiganga a very small angle ya vile vibanda vinakuwanga hapo dagoretti. Hawawezi piga a wider angle juu ukweli utaonekana. Meanwhile pale Makwapa 80% Uswazi.😅😅😅
 
Yani hadi sasa hauna kiwanja ambacho ni FIFA approved halafu unausema uwanja wa Samia na kuufananisha na Wajir!?
Pia hiyo ni strategy ya Tanzania kuutanua mji. Sisi sio kama nyie kila kitu kipo central located na kusababisha congestion.
Hiyo maku ya Arusha iko approved?
Talking of locating everything in Nairobi wakati Kenya is building stadiums in all the 47 counties as I type this. Are you even listening to yourself?
 
Back
Top Bottom