Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati Wakenya wa JF wamekuwa so fooled by their ego wanaignore jinsi Tanzania inavyokuwa East Africa's manufacturing hub, wenzao wameamua kutumia hiyo fursa. Maendeleo ya Tanzania ni faida kwa East Africa, kama huyo mfanyabiashara ni Mkenya na ananufaika na uwepo wa viwanda Tanzania
Hawa wa humu acha waendelee kupretend kama Tz ni some random country in East Africa. Tutawaonyesha sisi ni nani, soon watakubali tu watake wasitake 😂😂
Mimi ni mvivu tu kupiga picha ila kuna industrial area kule Kosarawe II Kigamboni ni balaa. Kuna viwanda vingi na bado vinajengwa. Kuna viwanja vya makazi vinauzwa maeneo ya huko vijana rukieni fursa hizo.
 
Wakati Wakenya wa JF wamekuwa so fooled by their ego wanaignore jinsi Tanzania inavyokuwa East Africa's manufacturing hub, wenzao wameamua kutumia hiyo fursa. Maendeleo ya Tanzania ni faida kwa East Africa, kama huyo mfanyabiashara ni Mkenya na ananufaika na uwepo wa viwanda Tanzania
Hawa wa humu acha waendelee kupretend kama Tz ni some random country in East Africa. Tutawaonyesha sisi ni nani, soon watakubali tu watake wasitake 😂😂
sisi hatutaki kelele nyingi tunataka namba zisome tu, btw 🤣 🤣 wote waliopo uku are more poor than wale wanaolalamika, mfano Teargass toka maziwa yaadimike mpaka leo hayupo tena online, means alikua anaiba maziwa anauza 🤣🤣🤣
 
Tanzania imports more manufactured products from Kenya than the other way round. We just don't make noise about it.
because raw materials mlikua mnatoa kwetu, but its comming to an end, vision 2050 restricts selling all unprocessed materials kuanzia maindi to everything
 
Kwani hujamsikia huyo demu anasema zimekuwa manufactured Tanzania
Yani anatoka Kenya, anakuja Tanzania anaangiza bidhaa kutoka kiwandani kama wanavyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo, zinaletwa Kariakoo anazipokea halafu anazisafirisha kwenda Kenya huko, ndio anaenda kuuza kwa cheap price
Wako radhi wapindishe ukweli kuliko kukubali. 😂😂😂
 
Bongo skyscrapers 🤣
View: https://x.com/marekamalili/status/2097903397118599312?s=46
IMG_3626.png
IMG_3627.jpeg
 
Kenyans do buy products imported from Tanzania, it is more accurate to say that Kenyans are importing through Tanzania because of the higher taxes imposed on certain imports coming through Mombasa.

Calling Tanzania the “China of Kenya” is therefore just stupid. Kenyans don't import through China; they import from China products that are manufactured in China. In this case, they are importing through Tanzania, which is a completely different thing.

It's the same way Tanzanians import certain products through Kenya. The fact that a product passes through a country doesn't mean that the product originated from that country.
BIg headed. Stop making up dumb stories.
 
Back
Top Bottom