Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said Red volcánic soil .. there could be more colors …
Like saying black sand ( there is also white sand)…
What do they teach in your schools?…🫣🤯🤯
but we didnt say the whole bongo we said dar and i gave an example, you see this bungoma city 🤣🤣🤣🤣🤣
1788956796567.png


1788956805426.png
 
Most Tanzanians affected are omba omba … in Thousands …🤯🤯🤯.. Kenya definitely the United States of East African region ( Hata Ethiopians are everywhere )… I say if they straighten up their papers and join the tax system , Let them stay .. more Revenue for KRA ..View attachment 3666145
We will pay back for sure!
 
Kumbe na wewe ulibebwa na hizo story za vijeni kwamba alifeli shule ,,😂😂😂 BTW kuna president yoyote toka hii nchi ianze ashapeleka nchi kwenye trade surplus ya mauzo 😂😂😂😂
Acha kutetea mauzauza.
Ukiachilia mbali kuwa hii historia yake ni open secret, hata yeye aliongea hili kwenye hotuba yake sema aliliweka kisanii kuwa:

"sikufabya vyema kwenye masomo yangu, primary na secondary"

Duh! unapinga mpaka ushuhuda wa muhusika!??😂😂😂
 
Acha kutetea mauzauza.
Ukiachilia mbali kuwa hii historia yake ni open secret, hata yeye aliongea hili kwenye hotuba yake sema aliliweka kisanii kuwa:

"sikufabya vyema kwenye masomo yangu, primary na secondary"

Duh! unapinga mpaka ushuhuda wa muhusika!??😂😂😂
Hizo ni siasa za kawaida infact she graduated PHD yake some few years back, however also ata ingekua kwel kafeli sidhan kama ni issue kiasi icho, kwan wapo wengi tu hata hio phd yake hawakufika na wana mafanikio makubwa sana, wengine ata primary hawakumaliza
 
Back
Top Bottom