Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

not only city but CAPITAL CITY 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1788904051582.png

1788904076163.png
 
Endlea kusema ivo ivo low score, we si unasubiria leaders wakufanyie kila kitu, kaa ivo ivo
Samiais a serial failure shuleni. Kafeli moko, kafeli la 7, kafeli 4 kafeli 6. Nadhani huitaji kuambiwa nini kimetokea nchini kweti na ni kinaendelea.
Newly picked Vice President ni product ya Kigulunjembe Secondary school huko mji kasoro bahari. Yeyote aliyepita shule hiyo ni mbumbumbu wa kutisha🚮🚮🚮🚮🚮
 
Kumbe na wewe ulibebwa na hizo story za vijeni kwamba alifeli shule ,,😂😂😂 BTW kuna president yoyote toka hii nchi ianze ashapeleka nchi kwenye trade surplus ya mauzo 😂😂😂😂
 
sasa shida iko wap kama kuna construction sawa, however sisi hatuna sehem za vumbi naturally 🤣 🤣 🤣 na hatuna ule udongo wenu mwekundu, alafu vp mshamrudisha yule mwandishi mliemteka? 🤣🤣🤣🤣🤣
You are saying there is no red volcánic soil anywhere in bongo ??.. What do schools teach over there apart from CCM ni mamá na baba milele …🫣🤣🤣
 
You are saying there is no red volcánic soil anywhere in bongo ??.. What do schools teach over there apart from CCM ni mamá na baba milele …🫣🤣🤣
sasa na wewe kusoma hujui ama 🤣🤣 mm naongelea dar wewe upo mathare ama 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom