Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nliisoma hio mpaka wanatia huruma, kwa kifupi kasarani is gone, na iliobaki ndo kwanza wanarudia kupanda nyasi 🤣 🤣 🤣 we are left with 2 months and 3weeks tohandle over everything 🤣🤣🤣🤣 atleast uganda ashamaliza mapema yuko zake anarembesha barabara na kumalizia namboole. BTW unajua who was the reason CHAN was postponed? this will be a lesson next time tukiwa tunachagua wa kupatner nae
 
Ni kama tz washausoma mchezo spidi ya uwanja wa Dodoma si haba , kufikia December watakuwa mbali sana
 
Ni kama tz washausoma mchezo spidi ya uwanja wa Dodoma si haba , kufikia December watakuwa mbali sana
wanaukimbiza sio poa na nlimwambia Geza Ulole ule uwanja CAF washasema uishe na AKIBUA lazima uishe, japo havijapangiwa mechi zozote lakini CAF wamesisitiza hivo viwanja viishe 🤣🤣🤣 au namna gan Nicxie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…