Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila siku tunawaambia wakenya tumewaacha mbali sema wana kelele nyingi mitandaoni, sasa hv ndo ukweli unajulikana baada ya kuuficha kwa miaka mingi.
 
Are you mad? Over 90% of Upanga is apartment blocks. Built since 1970s . About 50% of ilala was apartments built in 70s. Over 70% of Magomeni houses were NHC building built in 70s. Dude, we started apartments or affordable housing game before your dad was born. Acha ujinga nani aige Kenya for what?
 
Hawa jamaa wapumbavu sana. Eti huyo Mwai anasema tumewaiga kujenga apartments. Huyu kilaza hajui watu tumekulia Upanga na Masaki kwenye apartments za NHC na mashirika ya umma? I'm talking about 1980s
 
Kila siku tunawaambia wakenya tumewaacha mbali sema wana kelele nyingi mitandaoni, sasa hv ndo ukweli unajulikana baada ya kuuficha kwa miaka mingi.
umejiuliza mbona hio data Haina somalia, south Sudan, Uganda, Tanzania etc
Not because somalia, a warzone, has less poverty than kenya
It's Because it lacks latest data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…