RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,121
- 138,089
Unamwambia hivyo mtu ambae hadi leo anajadili choo cha maji kama kitu cha maana maishani kwake?Nina hisa DSE
Nina units UTT AMIS
Nina crypto coins
Bonds
Nina savings Bank.
Other investments (Company)
Mimi na wewe nani primitive?