Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima akujue ndio aone ufala wako? Umeshindwa kupost majengo umebaki kulalamika. Alafu unasema Nairobi vs Upanga wakati umepost majengo tisa pekee mimi nimepost majengo 32 na bado naendelea. Westlands alone has more 20+ towers than the whole of Darislum. Nikiingia Kilimani, Upperhill, South C, Pangani, Eastleight si mtalia?🤣🤣
Jamaa analia mipaka ya westlands na hayo majengo yote yako kwa radius y'a 1km.....to make it fair kidogo hapa naona ukifanya eastleigh vs darvumbi+mwanza+arusha+ bongolala yote😂
 
Jamaa analia mipaka ya westlands na hayo majengo yote yako kwa radius y'a 1km.....to make it fair kidogo hapa naona ukifanya eastleigh vs darvumbi+mwanza+arusha+ bongolala yote😂
Hawajawai ona majengo tisa yakijengwa kwa pamoja so walidhani wako na construction boom. Ameshtuka kuona hiyo boom yao sii kitu. Kumbuka Upanga is larger in area than Westalnds
 
Hilo jengo ni twin tower na hata nikiliondoa liwe tower moja bado hujafika Thuluthi ya Westlands. Ebu post hilo jengo unalosema haliko westlands.
Unasema majengo 32 wakati umeshindwa kupost kumi pekee.🤣🤣
Cha kushangaza, mnasema hili hapa ni twin tower lakini hilo la Westlands mnakataa sio twin tower.
View attachment 3659214
Ni wapi tushai count kama hizi ni 2 different buildings.? 😂😂😂. Acha mchezo mkuu.
 
Ni wapi tushai count kama hizi ni 2 different buildings.? 😂😂😂. Acha mchezo mkuu.
You have a brain of a chicken, unasahau Hadi vitu ulifanya yesterday?🤣🤣😂👇👇

1000384764.jpg
 
Hawajawai ona majengo tisa yakijengwa kwa pamoja so walidhani wako na construction boom. Ameshtuka kuona hiyo boom yao sii kitu. Kumbuka Upanga is larger in area than Westalnds
Naona kuna so many buildings bado hujaweka, ukiishiwa omba sub tukifikishie hizo buildings of 20+ floors under construction in Westlands to 50😂😂.
 
In the same video, alipitia dual carriage highways.
Lakini wewe na roho yako nyeusi, you could only find these screenshots.

Kumbuka some of these are village roads from the miraa farms.
Tarmacked village roads in the whole of East Africa exist only in Kenya.
Bongolala mtaweka lami saa ngapi vijijini kama Darvumbi yenyewe imejaa dusty or muddy donkey tracts in the name of roads?
Eti paved roads in East Africa, pay attention to this rider from Kenya to the shores of Lake Nyasa uone mlivyo hovyo, uzuri yeye mwenyewe anakiri ubora wa barabara Tanzania is unmatched compared to Kenya sio highways tu mpaka rural / farm roads, wakenya hamtokaa mfikie level ya Tanzania in anything infrastructural!


View: https://youtu.be/1OpMC363VKA?is=jMJf5apkHQ0n_lgr
 
Despite having the narrowest highways in the region? 😂😂

From which cave did you dig up this one bongolala? 🤣🤣

Is there a wider road in Tanganyika than Thika road or the Rironi-Mau Summit road currently under construction?
I cannot argue with someone never stepped out of his street on the matter of international transportation, this your guy transverse the whole Kenya and 1300 kilometers of Tanzania's roads, he speaks from experience, he confessed your highways are narrow compared to Tanzania's
file_00000000913081f489e85c63f35cf970.png


View: https://youtu.be/NsHiwIgeo-w?is=LLS8iKOXhtV4FFAa
 
Back
Top Bottom