Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,689
- 107,131
leo nmejua slum mpya ndo naiskia for first time, KOROGOCHO SLUM 😂 😂 😂 😂 why have you been hidding it Teargasssasa itakuaje Teargass 😂 😂 😂
View attachment 3659087
View attachment 3659088
View attachment 3659089
Toka lini hiyo ikawa Fifa approved!? Hiyo ni CAF approved sio Fifa approved. Kenya kwa viwanja bado sana.Wewe Unathani Kasarani ilihost finale ya CHAN bila approval ya FIFA? View attachment 3656013View attachment 3656014
Kwamba hizi shanties zimekuwa designed? 😂😂😂😂those are houses za watu wamejenga vizuri its because uku watu wanapenda kujenga houses za chini na wanataka kudesign nyumba yake from start how he wants it to be, unlike nyie mnauziwa ukuta na milango 😂😂😂
Pole bana kichaka chako cha dar ni slum kishafutwa 😂 😂 😂Kwamba hizi shanties zimekuwa designed? 😂😂😂😂
View attachment 3659091View attachment 3659092View attachment 3659095View attachment 3659097
Honestly, I'd love to meet the designers nami wanifanyie design moja ya nguvu 🤣🤣
Teargass jamaa wako alitamani kuambiwa grass ya talanta ni world standard only to hear a disapointing answer 😂😂😂😂😂😂 jamaa anauliza unaonaje grass ya talanta, mzungu akavuta pumzi kwanza kabla ya kilio 😂😂😂
View attachment 3658935
View: https://youtu.be/WhxhZd90MXM?t=299
Wewe lia au ukitaka kunya, mimi sipo hapa kupigizana kelele na watu waliochanganyikiwa na maisha, mimi natoa taarifa au kueleza ninachokijua, ikiwa nakuumiza sana pole.Hamnanga designers Tanzania?
The fact this is an AI picture should just tell you that there's no such project coming up 😂😂🤣
Ganda la muwa la jana,chungu kaona kivuno.Wakenya acheni ushamba bhn, mambo ya kizamani tu haya wala msi complicate maisha.View attachment 3658818