Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda atapewa Finale...

Unajua opening ndio mashindano yenyewe. Ukiboronga hapo ndio unaharibu mashindano yote. Sasa kwa uzoefu wa kuandaa na vibes la mashabiki, miundombinu na factors zote bhas Tanzania inakamata nafasi ya juu kuliko wengine.
the whole AFCON opening match ndo mlango wa kila kitu, na pia na nchi yako inacheza pia everyone on earth is watching, motsepe anatamani iwe bongo but tunaenda kwa voting, uganda pia anataka na kwakua tuna ukaribu zaidi na Uganda we voted for them, however finals ndo bado 😂😂😂😂 and whats funny ni huenda ikachezeka zenji
 
ndo uhalisia sasa unataka kulia ama 😂 😂 😂 kwamba ulidhan kutokuweka running tracks ndo unaona mechi vizuri au 😂😂😂
Ndo mana kuna mdau humu wakati talanta inajengwa alizani ungewekwa running track kwasababu eneo liliachwa kubwa sn katikati, ila nahisi wamefanya vzr kuacha eneo kubwa katikati, wakitaka kuweka running track wanaweka.
 
Your stadium is just small idiot 😂🤣🤣.

Talanta pitch is a standard size for all soccer pitches.
Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
 
Ebu tuambie ya Talanta ni ngapi🤣🤣😂
 
Uganda atapewa Finale...

Unajua opening ndio mashindano yenyewe. Ukiboronga hapo ndio unaharibu mashindano yote. Sasa kwa uzoefu wa kuandaa na vibes la mashabiki, miundombinu na factors zote bhas Tanzania inakamata nafasi ya juu kuliko wengine.
Ni kweli kabisa kaka, caf wasije kukosea kuacha kuipa Tz opening match.
 
Sawa vuvuzela😂😂👇👇

 
Ndo mana kuna mdau humu wakati talanta inajengwa alizani ungewekwa running track kwasababu eneo liliachwa kubwa sn katikati, ila nahisi wamefanya vzr kuacha eneo kubwa katikati, wakitaka kuweka running track wanaweka.
i think because wanachezaga rugby pia, maybe ndo maaana, however yule wa kule juu na aliepo chini kabisa nawaonea huruma 😂 😂 😂
 
Mliacha eneo kubwa ili baadae hata mkitaka kuweka running track mnaweka, mlifanya vzr cz mchezo wenu ni mbio sio mpira bro.
Ebu tuonyeshe hiyo eneo kubwa yenye imewachwa for running tracks 😂😂👇👇👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…