Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpaka Sasa Tanzania ndio wana uhakika wa kuchezesha game kubwa moja ya nusu fainali. Na hapo ndio tunasubiria tena Either opening au closing... Sana sana tutapewa opening.

Na tarehe 14 September ndio watatamgaza nani ata host kituo Cha kurushia matangazo Cha pamoja. Na hii ipia itakuwa pale Tabata kwa AZAM.
 
si tushakwambia we are backing Uganda, ama unadhan we are selfish? President anataka iwe tanzania ila kwenye kikao tumesema we are backing Uganda and thats all needed 2 votes are only needed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ingekuwa ishakubaliwa then Kenya couldn't have asked for the opening match.

In short it's safe to say that you had a meeting in your mother's house to back Uganda. The only two votes needed were yours and your mother's πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Opening mpaka sasa Uganda ndo anapewa kipaumbele, BUT only pale namboolee because unatakiwa kua na zaidi ya 45K seats, so yupo kwenye ujenzi, also we are backing uganda for the opening japo president anataka iwe apa

View: https://youtu.be/8iOT6l7UFfA?t=1862
 
sasa sisi na nyie nan wa kwanza kua na 60K stadium? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ infact sio wa juu tu hata wanaokaa nyuma ya goli, the only place mpira unaonekana kama kwenye tv ni apo katikati both sides
Kasarani was built in 1987 hata before mjue Stadiums ni nini. It was 60k seats until 2024 when it was reduced to 48,000k seats.

Najua hawezijua hiyo juu you are still a young kidπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 

View: https://youtu.be/8iOT6l7UFfA?t=1862
madame si video hii apa nmekuwekea sikiliza amejibiwa vp, "We are still discussing" and weeks later si nlikuja nkakwambia who was voted? BTW shida ni nn πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

View: https://www.instagram.com/p/DbC1jpElV1K/
 
Daahh yn jamaa wamekwama kabisaa aisee, wenzao wanaenda mbele wao wanarudi nyuma 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Uganda wana akibua stadium, mzuri kichz lakini hauchezeshi mechi yoyote ila upo standby, kuna uchaguzi unaangaliwa huenda ukatumika huo uwanja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kasarani had seats idiot. Wakati tulikuwa na Stadium kubwa nyinyi bado mlikuwa mbatembeza bakuli kwa wachinaπŸ€£πŸ€£πŸ˜…
seats gan madame? what happend the seats gafla zmekua 40K seats? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uwanja pekee wa football kwa hapa East and Central Africa upo Tanzania, unaitwa Fumba stadium, talanta sio uwanja wa football pekee, na ndiyo mana utalazimika kuona wachezaji kwa mbaaaliiii kama viwanja vingi vya ki Africa.
Napenda vile watanganyika mnajifariji. Eti hapa wachezaji wanaonekana kwa umbali? Minyamwezi bana! 🀣🀣🀣
 
Kasarani had seats idiot. Wakati tulikuwa na Stadium kubwa nyinyi bado mlikuwa mbatembeza bakuli kwa wachinaπŸ€£πŸ€£πŸ˜…
alafu waliambiwa waweke skai boxes sjui wameweka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nawaonea huruma
 
alafu waliambiwa waweke skai boxes sjui wameweka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nawaonea huruma
Makwapa iko na Skyboxes? Arusha Stadium itself ni mpya na hata haina Skybox πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…