stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,347
- 36,622
champion wa kuhepa 😂😂 kwahio mada ulizoanzisha unamuachia nan 😂😂😂😂I was busy enjoying various YouTube videos by Bongo bloggers about how crazy Kenyans are . They admire our spirit…You should too …
View attachment 3655598
Exactly 😄Masidisi Benzi 🫣😆😆😆… ni ile kizungu ya Diamond na Bertin😆😆😆
He's all over Africa. Desperate kinoma!He’s so desperate Hata hajui msimamo wake anymore…😆😆… Mara ako Rwanda, Uganda, Egypt, Morocco… even Tandale is starting to miss him … 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mara yuko ukuHe's all over Africa. Desperate kinoma!
sometimes pia anahamia uku, desperate sanaHe's all over Africa. Desperate kinoma!
Hakuna kitu huwauma kama kuwaambia ukweli kuhusu uwanja kienyeji waliojengewa. 😂😂😂unauliza majibu tena 😂😂 and how much does GOK remain with after paying the loans kwenye budget vs how much does tanzania remain with 😂😂😂
hujaona jinsi Teargass anapiga kazi kuubrand apa 😂 😂 watu wanamwangalia wanachekaHakuna kitu huwauma kama kuwaambia ukweli kuhusu uwanja kienyeji waliojengewa. 😂😂😂
Wakati Tanzania tukisherekea ujenzi wa SGR zaidi ya Km 2,000 na kukamilika kwa bwawa kubwa la kuzalisha umeme JNHPP 2,115MW wao wanasherekea uwanja wa mpira ati tunawaonea wivu wakati Tanzania tunajenga viwanja vipya vitatu FIFA standard.