Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,273
- 107,911
kule twitter Wakundustani wanabeza hii maneno!Najivunia kuwa mmoja wa Watanzania walioshiriki kukamilisha ujenzi huu uwanja wa ndege Mtemere.
Nchi ya mradi mmoja tena wa uwanja wa mpira hawawezi kutuambia kitu.kule twitter Wakundustani wanabeza hii maneno!
madame huo ndo uhalisia, even before the article we already told you it looks like beseni but it looked like we are hating while its the fact and whats worse it costed $1.3B 😭 😭 😭And Joel Masibo is who? 😅😅
Hizo ni opinion ls za mtu mmoja kama wewe au mimi, did you even read the article? He is reaching that determination by pure observation, the same way i can write an article saying the opposite based on my view
Joel Masibo is just an ordinary person like you and me 😅View attachment 3655504
View attachment 3655501
nothing to compete apo, MMoja ana reli ya umeme wa nyumban inaenda moja kwa moja mpaka mlangoni kwa nchi 4, mwingine ana reli ya stone ages ambayo haibebi mizigo mizito,View attachment 3655463
View: https://x.com/joeagoi/status/2091381449249222689
MY TAKE
Kuna watu wanaumia!
hongera sana mkuu, kazi safi imenyookaNajivunia kuwa mmoja wa Watanzania walioshiriki kukamilisha ujenzi huu uwanja wa ndege Mtemere.
Do we care? Ethiopia is ready to take any share allocated to them.View attachment 3655463
View: https://x.com/joeagoi/status/2091381449249222689
MY TAKE
Kuna watu wanaumia!
Airforce 1 is from 1980s you idiot. Serious countries don't obsessover the president's plane.nani atanunua Mkweche wa toka 1980s?
Mtu akikskia vile unaongea anawezadhani Tanzania is doing better than Kenya economically kumbe Kenya's GDP is twice ya Tanzania 😂😂Nchi ya mradi mmoja tena wa uwanja wa mpira hawawezi kutuambia kitu.
unauliza majibu tena 😂😂 and how much does GOK remain with after paying the loans kwenye budget vs how much does tanzania remain with 😂😂😂Mtu akikskia vile unaongea anawezadhani Tanzania is doing better than Kenya economically kumbe Kenya's GDP is twice ya Tanzania 😂😂
BTW its doing worse in the whole region, only world bank bailouts here and there but the village collapsed to its kneesMtu akikskia vile unaongea anawezadhani Tanzania is doing better than Kenya economically kumbe Kenya's GDP is twice ya Tanzania 😂😂
Kuna mtu atajipata pabaya!so sudan will sell oil to ethiopia, no wonder they broke ground on the new refinery
View: https://x.com/africatodayMG/status/2091413927171129671?s=20
nlikua advocate wa umeme ukasema ni ccm wanaandika, saahv umetukimbia tena hutak kuskia mambo ya umeme
View: https://x.com/Uchumi360/status/2089094387078709264?s=20
nmekuja stadiums bado hamnitaki, sasa nifanye nn 😂😂 nachoka mwandambo