Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Machina kadinda kuweka hata VIP sections wewe uko hapa na kujifariji na VVIP section ya Talanta πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hubu tuonyeshe VIP section ya suluhisho stadium tucheke kidogo 🀣 🀣
saaaahv inaitwa VIP section πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ule mdomo wa skybox ulikua unatoa wap? au ndo mdomo wa $1.3B
 
Skyboxes all over the world are located on VVIP sections kijana wa Tandale. Nway, utaelewaje hizo mambo wakati suluhisho stadium haina hata VIP section. Sasa mambo kuhusu VVIP ndio utaelewa?

Hajakosea, ni hawa mbulu kenge hawajui tafauti ya skyboxes na vip boxes, mchina kajenga VIP Boxes, there are more of offices than sehem za kuangalia mpira sasa wakina mwaiofhawaii wallidhan wanajengewa hizi

View attachment 3609880

kwan Nicxie mwanzo midomo ilikua ya nn sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Skyboxes all over the world are located on VVIP sections kijana wa Tandale. Nway, utaelewaje hizo mambo wakati suluhisho stadium haina hata VIP section. Sasa mambo kuhusu VVIP ndio utaelewa?
we can be fair to you because all you know ni kipchoge keino πŸ˜‚ πŸ˜‚ dakika za mwisho kabisa unakuja kukubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ the same way we were saying the stadium is ugly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/K24Tv/status/2091062914174124446?s=20
 
I have never seen a desperado like you in my life. The article clearly compares foldable seats between Talanta and Amahoro, kitu ambacho maku yenu kule Arusha haina hata moja. Hivi, unajielewa kweli Nyamwezi or you are just putting on a brave face after getting the disappointment of your life kule msituni where you predicted the whole stadium to have foldable seats?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Skyboxes all over the world are located on VVIP sections kijana wa Tandale. Nway, utaelewaje hizo mambo wakati suluhisho stadium haina hata VIP section. Sasa mambo kuhusu VVIP ndio utaelewa?
alafu mbna hutuambii article imesemaje kuhusu lighting za nje, accessibility πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua @tearg
has been branding it the longest ebu mwambie article inasemaje
 
nn kingine wamesema uko mbna unaruka tena sehem nyingi
 
So Nyamwezi you expect skyboxes zijengwe in ordinary sections?

Uwanja wenu kukosa VIP and VVIP sections sio kosa letu Nyamwezi.
wewe na Teargass tafauti yenu ni joto tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ alafu sema kimoyo moyo ngong cowshed is ugly πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…