Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,721
- 4,601
Wee ndio una twist maneno fala hii 😂😂😂. Mimi ndio kwanza nimeanza kupost unatokwa povu, jitu zima pumbavu.You keep on twisting words to suit your reality. Nilisema majengo yenye Bertin amemention hayafiki kumi wakati title ya video inasema yapo zaidi ya 30. Umepost sita pekee ukaingia mitaa mingine. Sasa kati yangu na wewe nani muongo? Ama sita ni nyingi kuliko kumi?
Najua haumpendi Bertin kwasababu anaonyesha uhalisia wa mambo ambayo wewe hupendi. Stupid kunyan. 😂😂😂