REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,594
- 11,510
Ramaphosa government is being childish on this one. Wana kipi cha kuwafanya hizi nchi zilipe hizo pesa?
Ramaphisa na kundi lake ni agents wa Apartheid na wanaharibu mahusiano ya ANC, South Africa na nchi nyingine kama a step forward kwa Western Cape kupata mwanya wa kujitenga baada ya South na ANC kuwa isolated, jambo ambalo limeshaanza kuwa reality.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/2087653411034415297