Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1786550066268.png

1786550082155.png
 
Do you remember ukipost hizi daily?
View attachment 3649211View attachment 3649212View attachment 3649215View attachment 3649217

Sasa hivi uko hapa👇👇🤣🤣
View attachment 3649221View attachment 3649222View attachment 3649224

Do you think you are making "progress" Nyamwezi?😂😂😂
Or it's just a case of putting on a brace face?🤣🤣
saaahv nmeanza kupost hii apa daily

View: https://www.youtube.com/watch?v=xH93vcEVPss&t=115s&pp=ygUSbmF2aWdhdG9yIGNoaW5kdWxp
 
Mimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.
Ni bora ungeandika kwa lugha ya malkia. Umejitahidi ila Kiswahili hili sio cha Mtanzania.🚮
 
Back
Top Bottom