Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,119
- 107,668
poleni sana 😂 😂 hii ndo latest kutoka stadium yenuNaona umerudi back in time ujikumbushe tulipotoka 👏🏽👏🏽
Jibambe
baadae muanze kulia tenaMajority of buildings that these people will list as under construction are stalled.
Hakuna mbongo anaandika kama wewe. Jaribu tena baadaeMimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.
Ata sisi tulikua tunajua mbagala ni slum mwanzo mpaka pale tulipofika kwenye maaana halisi ya slumMimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.
😂😂 Sawa Mtanzania mwenzanguMimi ni mbongo lakini kulinganisha Dar na Nairobi ni insane wandugu. Nairobi mji umepangika sana na upo vizuri sana kuliko jiji langu la Dar. Yes, kuna slums area kama Kibera, ila Dar ina slum pia Manzese, M'nyamala huko, mbagala nk. Nairobi iko kwenye level ya majiji kama Johannesburg, Pretoria, Cairo, Addis Ababa n.k. Dar bado sana, mpangilio wa jiji umeharibiwa na ujengaji holela wa sehemu za wazi za mapumziko ya watu na viwanja vya michezo. Jiji kupendeza sio majengo ya maghorofa ni pamoja na mpangilio wake na miundo mbinu pia.
Groundbreaking for a 34 floors tower in Milimani.
View: https://www.instagram.com/p/DbxvegGjSe5/?img_index=3&igsh=MXY4bXpra2gyb2lwdA==
View attachment 3648978
Huyo El Mincho badala ya kuandika El Mencho yeye kaandika El Mincho. Hakuna mtanzania mbumbumbu hivyo.😂😂 Sawa Mtanzania mwenzangu
Says a person coming from a country controlled by Kenyans, Arabs and And Indians.You guys are sold out, you can't live without Chinese, Somalians, Indians these are the main owners of your homes, only slums are your own like pipeline