Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By the way mambo ya FIFA Ranking mliachana nazo?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME πŸ˜‚πŸ˜‚
 
FIFA wanasemaje kwa rankings zao?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
ningekua mm ni wewe ningeona aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ using a 10 year old match as reference πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aibu ni kwamba you've not beaten our senior team since then. Tumekuwa tukiwanyorosha kama wanyonge mlivyo hadi leo
 
kwahio Teargass all the noise za AVA na Master imekuaje tena πŸ˜‚ πŸ˜‚ ni kama your diverting away using sports, hatujamalizana uku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…