Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You think Dangote is building his refinery waiting for Uganda's 50k barrels.
Wengine wakiskiza darasa ulikuwa unafikiria tu masaa ya uji 😂😂
The East African Crude Oil Pipeline (EACOP) has a designed baseline capacity of 216,000 barrels of crude oil per day. Hizo 50K ni za kwako na Mama Ngina
 
Hii habari ya Tanga refinery ni maumivu Hadi kwa Dangote. Sio kwa wakunya tu.

Imagine Jana Dangote amepokea jopo la mawaziri na maofisa waandamizi wengi team ya kutosha kutoka TZ. Hapo naamini Dangote alikaa mkao wa kula... Akijua mpango wa refinery upo na ndio anabembelezwaa... Wakati wanapiga tour kwenye viwanda huko Nigeria... Bongo huku wana sign refinery Tanga. Surprise ya ajabu.
Hii ni Somo kubwa sana. Kama aliaminishwa na wapuuzi fulani hapo north kwamba wao ndio wajuaji wa hizi kazi bhas Jana kaona kazi kwa vitendoo. Na lazima ageukie Tanzania. Ameona namna hao mafala hawana ushawishi Wala kuweza kusimamia jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…