Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani MoU ndio unaandikia paragraph kubwa hivi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Nafsi inakuungua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja niendelee kukuumiza zaidi

Unajua baada ya huo uwekezaji nini kitafata.? Tanga city itakua kwa speed ya ajabu in terms of infrastructure and buildings. Kwahiyo mzee wangu we jua tu tutawapiga gap ******* ikija list ya miji yenye maendeleo makubwa.

Very proud of my hometown
 
Hiyo ni Kenya ndio unasema ina landscape nzuri hivyo, ukizunguka Tanzania si utazimia kabisa πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
tuwape mda watakaa sawa maaana wana hali mbaya leo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Teargass kafungua tuition anafundisha MOU saaahv

I'm here to educate you all. It's sad that I have cut short your happiness. Saa hii hata mnaogopa kuongelea hiyo MoUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Inasemekana umefungua tuition ati unafundisha MoU ..? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kindly explain to me like a class one kid what MoU isπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Inasemekana umefungua tuition ati unafundisha MoU ..? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Juu inaonekana hamjui what MoU isπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

M ashangilia as contract has been signed kumbe it's just an MoU. MoU is a very useless agreement cause it can be terminated anytime without any consequences to the terminating partyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

In short MoU is just a plan which can remain a plan forever without ever actualising πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ongea bila kulia sasa
 
Nakuja tuition nijifunze kaka, naskia umefungua kituo huko unafundisha MoU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MoU is not a contract.

That's why mnadanganywa ati mtapeleka mafuta Uganda wakati Uganda is also building a refinery bigger than their current consumption. So I'm wondering where will Uganda take those petroleum mnaoanga kuwauzia if zenye warasafisha hawawezimaliza?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
tatio lako unaongelea kwa kulia πŸ˜‚

View: https://www.instagram.com/p/Dbs3DhSDcC-/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…