stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,195
- 33,642
Alafu ikawaje mkashindwa kupata ata own goal whole tournamentSasa unajifariji badala ya kupost result ya timu yenu 😂😂 You earned a point against a team we beat home and away on our way to the World Cup
Nakuonea huruma, but huna budi to use pit latrineBongolala, Nairobi hakuna pit latrines. Mbona unataka tufanane?
Eti choo imechimbwa chini ya ardhi? 🤣🤣 You can't get kijana wa Tandale
Half of the matches in TZ 🔥🔥🔥🔥sawa main Host 😂 😂 litoto lijinga kama mwaiofhawaii , shika hii picha usije baadae kulia
View attachment 3643346
Mtatuabisha na pitch mbovu kama hizo jamani.Wale Bongolala wa nyasi, here is something to celebrate about. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3643372
CAF knows Kenyans are not dependable. They have a history with CAF that goes back many years 😁If you know to you know 😂 😂 😂
Both tanzania and uganda are FORCED to build a reserve stadium each But NOT Naislum 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Halafu waambie hiyo skyline inayoonekana kwa mbali hapo ni Kijitonyama sio Posta ili wajue ukubwa wa Dar vizuri. Kwao ukiwa CBD ukirusha jiwe linafika kilimani huhitaji nguvu nyingi.
not only half of the matches but all meetings za pamoja AFCON zinafanyika Dar, and the Head of the committee ni sisiHalf of the matches in TZ 🔥🔥🔥🔥
they were banned, they are only here because we wanted them to be here otherwise the project was Uganda and Tanzania only, however we have another BID ya all african championship ya uganda na tanzania, Though sio rahisi kupewa umetoka kuhost AFCON alafu upewe tena matches zingine, but if it gets accepted basi Uganda and Tanzania will host itCAF knows Kenyans are not dependable. They have a history with CAF that goes back many years 😁
Why did you do that. It doesn't even look busyLol 400km from Nairobi in a small town
View attachment 3643661
That's what an interchange doesWhy did you do that. It doesn't even look busy
Sema hatupendi tu kuwaambia kuwa hiki kiwanja kipo Bukombe Geita 1,422 km from Dar es salaamHalafu waambie hiyo skyline inayoonekana kwa mbali hapo ni Kijitonyama sio Posta ili wajue ukubwa wa Dar vizuri. Kwao ukiwa CBD ukirusha jiwe linafika kilimani huhitaji nguvu nyingi.