Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeleta render ya such a massive complex already under excavation, unaleta render ya kibanda ata hakijaanza kujengwa? πŸ˜‚
Au unatumia kiswaswadu .? au ni wivu.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 2026 hii na haujui kuthibisha jambo online.? Huu uzi sio size yako then, enda utafute rika yako manzee.
 
Au unatumia kiswaswadu .? au ni wivu.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 2026 hii na haujui kuthibisha jambo online.? Huu uzi sio size yako then, enda utafute rika yako manzee.
Nimeona mwingine amepost picha ya Hadzabe eti anawalinganisha na watu wao wenye njaa Turkana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
They no problem with the design becasue they thought it would never be built. Now it's almost complete, they suddenly don't like the design.🀣 🀣
When you deal with clowns, expect a circus πŸ’―πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nakumbuka wakisema uwanja wa Afcon Arusha haujengwi, sasa wanaume tunajenga viwanja vitatu.
Now wanasema barabara haijengwi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye suala la barabara wataacha ndala mana hiyo Arusha inajengwa barabara kinoma and it will never be the same again.. wakitaka kufanya comparison na vimji vyao wataona haya this time around. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kule msituni mnapojenga ule uwanja kuna dalili ya mji?
 
Nakumbuka wakisema uwanja wa Afcon Arusha haujengwi, sasa wanaume tunajenga viwanja vitatu.
Now wanasema barabara haijengwi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sasa si ndo vizuri ili wasikimbie maaana walikuaga wengi apa online saaahv wamebaki wattau wengine nao sjui wanakimbilia wap
 
Do it dwarf. I'm waiting.
1.. Golden unnecessary tower (upanga) 27 floors. U/C2. Safira tower (Upanga ) 21 floors 3. Sky Royal (Mikocheni) 20 floors 4. Grand Sultanate mercury (Upanga) 22 floors 5. Grand sultanate jupiter (Upanga) 22 floors 6… MEETHAK tower (Upanga) 24 floors πŸ‘‡πŸΎ7. Imperial tower (Upanga) 20 floors 8.. Royal Residence (Posta) 22 floors .. list inaendelea
 
Mnuka mavi NairobiWalker 9.Residence 51 (Upanga) 20 floors πŸ‘‡πŸΎ 10. Residence 52 (Upanga) 20 floors 11. Keynel center (Victoria au Mikocheni coz indeed Victoria is in mikocheni ward). 26 floors building πŸ‘‡πŸΎ High-rise ambition reshapes Dar es Salaam future economy - Daily News.
 
hii ya zenj ndo naiona leo

View: https://www.tiktok.com/@maisvault/video/7669803294604250381?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
hii ya huyu jamaa ni private au, mbna sjawahi kuiskia?

View: https://www.tiktok.com/@maisvault/video/7669803294604250381?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…