Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I was about to respond with exactly these words. You beat me to it.🤣🤣🤣🤣
 
Yani main road pekee ndio iko na lami Ochunchingchong? 😆 😆
Sikuhizi Watanzania wengi wanajenga nyumba nyingi sana nzuri. What do u expect
Speed ya ujenzi ni kubwa kuliko uwezo wa serikali kuweka lami, in just few years kutakuwa na lami so kaa kwa kutulia. Huku kila sehemu ni nyumba mpya tu zinajengwa
Mfano hii neighborhood iko Mbeya, ilikuwa bush just 4 years ago lakini recently imeanza kujengwa kwa kasi , sasahivi government imeanza kuweka lami everywhere, hapo bado wanaendelea stage moja baada ya nyingine
 
Mbona sioni cha maana hapo wee mtoto wa shule?
 
Mbona sioni cha maana hapo wee mtoto wa shule?
Huoni barabara zinajengwa kwenye neighborhood
Nakuelewesha kuwa barabara zinajengwa baada ya neighborhood kukua kwa sababu you can't predict ni wapi Watz watajenga kwa wingi.

Kwani ulikuwa unaulizia maajabu au barabara, una matatizo ya akili we mzee 😂😂
 
They no problem with the design becasue they thought it would never be built. Now it's almost complete, they suddenly don't like the design.🤣 🤣
Hiyo design ni mbaya. Tulishaona kitambo since uwanja haujakamilika
Other than being big, it looks ugly
 
Mr. Baboon, nimekupea a very easy task. List all the buildings over 20 floors under construction in Dar uweke hapa, sio kutuwekea vijumba viwili vya 20 floors unataka tukupigie makofi wakati kwetu kunajenga jumba la 60 floors.
Leo hiki kichaka chako nakifyeka nakuandania list kalii kaa kwa kutulia hapo.
 
mkimaliza apo mnazifua mnaingia nazo uwanjan 😂 the only team without a training kit
 
Umenikumbusha Avic Town by the way 🤣🤣🤣. What came of it ama wanunuzi walikosekana mchinku akakula huu?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…