Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna mpuuzi mmoja wakikenya alisema kua kenya ndio imeshika soko la africa mashariki nafkiri hakua na taarifa sahihi😀😀😀😀😀

tanzania imeshika soko africa mashariki na kati zikiwemo zambia, malawi na mozambique kwenye mambo yafuatayo

1] oil - kwenye sector hii go east and central utakuta vituo vya mafuta vya matajiri wa tanzania wakiwemo oilcom, lake oil etc

2] gas - kwenye sector hii inajieleza vyema

3] wheat- azam and azania hawa ndio wameshika masoko ya unga ukanda wa africa mashariki na kati

etc naendelea kufanya utafiti wa uhakika
 
[Song] Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi ya nafaka majira yetu haya yangekuaje sasa utumwa wa nchi [HASHTAG]#Nyerere[/HASHTAG] ameukomesha......... Nchi hiyo huitwa Tanzania.

I used to sing this song in schools but I didn't know it's meant to until I grew up and started to walk on the country Dah! Believe me Tanzania we are blessed nimetembelea na nchi nyingine lakini bado Tanzania ni unique..........

Let's keep exploring [HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] and now is #5 [HASHTAG]#Njombe[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] we blessed

View attachment 679697 View attachment 679700 View attachment 679701 View attachment 679703 View attachment 679704 View attachment 679705 View attachment 679706 View attachment 679707 View attachment 679708 View attachment 679709 View attachment 679710 View attachment 679711 View attachment 679712 View attachment 679713 View attachment 679714 View attachment 679715 View attachment 679716 View attachment 679717
wanyoshe brother...tupo pamoja nawe katika kukupa hamasa na backup pale inapobidi.

hapo bado hatujaaza kuangazia wilaya, halmashauri na kata za mikoa ya tz. shenztype hawa. hawaijui tz.
 
so unataka kusema serikali yenu plus private sector imeajiri watu wengi kuliko kenya?
juu hata companies ni chache sana
Tanzania ina resources nyingi sana mbali na viwanda ambavyo pia vipo vingi.

Vijana wengi wamejiajiri kwenye tourism sector, fishing sector, animal raising sector, agriculture sector, forestry sector, business sector, services sector, which does not depend on industries employment as you think though even in industry sector we are well off.
 
Hii pic ninasubiri wakenya waseme hapo sio Tanzania
4cb571db250d23850ea9046f01548490_1394306684_l-jpg.679738
 
Let me dig deeper into [HASHTAG]#Njombe[/HASHTAG] you never heard of from Kibera struggling grounds like hell the real it.

[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #5 [HASHTAG]#Njombe[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] like never before
375px-Tanzania_Njombe_Region_location_map.svg.png
images-14.jpg
dosmeza-hotel-21515-20df15689f8d8095149d344eb9cce02e999942ad.JPG
14-03-24 training begins (5).JPG
2017-05-27.jpg
images-5.jpg
images-7.jpg
images-13.jpg
images-8.jpg
images-16.jpg
images-11.jpg
images-9.jpg
images-15.jpg
images-10.jpg
Lamp.01.kniphofia-field-660x457.jpg
images-12.jpg
images-6.jpg
 
Tanzania ina resources nyingi sana mbali na viwanda ambavyo pia vipo vingi.

Vijana wengi wamejiajiri kwenye tourism sector, fishing sector, animal raising sector, agriculture sector, forestry sector, business sector, services sector, which does not depend on industries employment as you think though even in industry sector we are well off.
Wakenya wengi wamejiajiri pia,
wale wanalipa tax kwa serikali ndio naongelea,,si wakulima.
Hakuna nchi africa unemployment ni below 30.
 
Top 10 Africa

Top 10 African countries that receives more tourists
1 South Africa world ranking 53
2 Mauritius world ranking 55
3 Morocco world ranking 65
4 Egypt world ranking 74
5 Kenya world ranking 80
6 Namibia world ranking 82
7 Cape Verde world ranking 83
8 Botswana world ranking 85
9 Tunisia world ranking 87
10 Tanzania world ranking 91

Other notable countries that did not make it on our list are Rwanda (94), Uganda (106), Zambia(108) Cote I'voire (109) and Senegal (111) Source: WEF:The Travel & Tourism Competitiveness Report 2017
 
Top 10 African countries with quality roads
1.Namibia (score 5.2) world ranking 23
2.South Africa (score 5.0) world ranking 29
3.Rwanda (score 5.0) world ranking 31
4.Cote d'voire (score 4.7) world ranking 42
5.Mauritius (score 4.7) world ranking 44
6.Morocco (score 4.4) world ranking 55
7.Kenya (score 4.2) world ranking 61
8.Botswana (score 4.1) world ranking 62
9.Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
10.Senegal (score 4.0) world ranking 71

Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda. Sources: World Economic Forum competitive report: Road quality index 2016-2017.
Siwaoni mabongolala na naona Rwanda na Uganda na vile tulkua tunaimbiwa hapa eti kwa barabara tz hamna kama yeye
 
[Song] Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi ya nafaka majira yetu haya yangekuaje sasa utumwa wa nchi [HASHTAG]#Nyerere[/HASHTAG] ameukomesha......... Nchi hiyo huitwa Tanzania.

I used to sing this song in schools but I didn't know it's meant to until I grew up and started to walk on the country Dah! Believe me Tanzania we are blessed nimetembelea na nchi nyingine lakini bado Tanzania ni unique..........

Let's keep exploring [HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] and now is #5 [HASHTAG]#Njombe[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] we blessed

View attachment 679697 View attachment 679700 View attachment 679701 View attachment 679703 View attachment 679704 View attachment 679705 View attachment 679706 View attachment 679707 View attachment 679708 View attachment 679709 View attachment 679710 View attachment 679711 View attachment 679712 View attachment 679713 View attachment 679714 View attachment 679715 View attachment 679716 View attachment 679717
Kitulo national park njombe
bf2bf6b18ddee40a4ea8d7eab22fd41d.jpg
43ed3d590a52e9d1f80a132ae7fbf187.jpg
 
[Song] Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi ya nafaka majira yetu haya yangekuaje sasa utumwa wa nchi [HASHTAG]#Nyerere[/HASHTAG] ameukomesha......... Nchi hiyo huitwa Tanzania.

I used to sing this song in schools but I didn't know it's meant to until I grew up and started to walk on the country Dah! Believe me Tanzania we are blessed nimetembelea na nchi nyingine lakini bado Tanzania ni unique..........

Let's keep exploring [HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] and now is #5 [HASHTAG]#Njombe[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] we blessed

View attachment 679697 View attachment 679700 View attachment 679701 View attachment 679703 View attachment 679704 View attachment 679705 View attachment 679706 View attachment 679707 View attachment 679708 View attachment 679709 View attachment 679710 View attachment 679711 View attachment 679712 View attachment 679713 View attachment 679714 View attachment 679715 View attachment 679716 View attachment 679717
Dah! Nimeiona picha ya sao hill
Umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom