Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilishaangalia hiyo video ya "Wonders of Kenya", sio leo.
Halafu kingine ni kwamba features za Tanzania ni nzuri kuliko za Kenya. Kenya ni kama Tanzania from Temu, Tuko na features, mko na worse version zake
 
Tunduru District, Ruvuma Region 🇹🇿
Your browser is not able to display this video.
 
Kitu kingine kuhusu Tanzania
Tuko na Greenery everywhere
Kuanzia North, East, West, South, visiwani (Zanzibar & Mafia)
Only place ambayo haukuti greenery ni some parts of Central Tanzania na mikoa kama Shinyanga na Simiyu ambayo nayo sio kame kama very large part of Kenya
 
Mtu anioneshe mlima wowote ule wa Kenya ambao ni mzuri kuliko Mlima Ol Doinyo Lengai 🇹🇿
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…