babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,431
- 36,048
Kwanza ukijenga utaonekana umechizi.Yaani hizi nyumba ukiwa nayo kijijini hata chizi hakupo utamu mara mia akalale kwenye nyumba ya udongo
Slums maybe. Huko tunazitoa pole pole na affordable housing.Hizo za mabati ziko ndani ya Nairobi na ndo majority ya wakenya wanaishi🤣🤣🤣
Cone heads are Bongolala's national pandemic 😂😂
Sisi hatusbirii kujengewa , tunajenga wenyewe ,slums kwenu haziwezi Isha hata yesu ashuke Leo sababu mtaendelea kuwa maskini wengi sana.Slums maybe. Huko tunazitoa pole pole na affordable housing.
A small plot in Nairobi costs more than kujenga hizo cone head zenu.
Hakuna mtu ananunua ploti hio pesa yote kujenga mabati.
Wale wa nyumba za mabati hawawezi afford Nairobi.
Sasa Ksh300,000 ni nini? 😂😂Hiyo inaonesha jinsi Tanzania walivyo na purchasing power kubwa hasa kwenye ujenzi , fikiria mtu anatupa almost 300,000 ksh kwa ajili ya bati tu. Tena kijijini ili awaoneshe kuwa yeye ni mwamba.
Hii kwa Kenya hukuti
Hii hata dhamani ya bati kwa normal houses za tz za vijijini hazifiki.
Juu GOK imetoa wapi pesa ya kujenga.Sisi hatusbirii kujengewa , tunajenga wenyewe ,slums kwenu haziwezi Isha hata yesu ashuke Leo sababu mtaendelea kuwa maskini wengi sana.
Hiyo hela ya affordable housing Tanzania vijana wanakopeshwa wnaanzisha biashara ambayo in the long-run mtu anakuwa independent na kuweza kujenga mwenyewe kuliko kuwa dependant kwa over 30 years sababu ya kulipia nyumba
Kenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.Sisi hatusbirii kujengewa , tunajenga wenyewe ,slums kwenu haziwezi Isha hata yesu ashuke Leo sababu mtaendelea kuwa maskini wengi sana.
Hiyo hela ya affordable housing Tanzania vijana wanakopeshwa wnaanzisha biashara ambayo in the long-run mtu anakuwa independent na kuweza kujenga mwenyewe kuliko kuwa dependant kwa over 30 years sababu ya kulipia nyumba
Sasa Ksh300,000 ni nini? 😂😂
You have never built a roof in Kenya and it shows.
Hio ni ya labor ama ni ya nini? 😂
Unanionesha nyumba zilizojengwa na companies for sale & rent?Mko na any regulated gated estates Bongolala ama ni kila mtu na design yake na ukuta wake.
What an ugly scene. I'm glad Kenya is changing this.
Dar slum is still stuck in the Juba way of doing things.
LDC budget, LDC designs and LDC communities with no shared amenities.
Mko nyuma at least 20 years.
Within Nairobi metropolitan, you'll find hundreds of such estates of all sizes.
Mr Bajaj driver Traxtion , any similar arrangement in Bongolala? 😂😂
View attachment 3639358View attachment 3639359View attachment 3639360View attachment 3639361View attachment 3639362View attachment 3639363View attachment 3639364View attachment 3639365View attachment 3639366View attachment 3639367
View attachment 3639371
View: https://www.youtube.com/watch?v=uh14eC9Bd0M
Juu GOK imetoa wapi pesa ya kujenga.
Unadhani ile 1.5% sio pesa yetu?
In any case, affordable housing ata bado kufika 1% of our housing needs. Sujui propaganda gani hio ikakwambia Wakenya private hawajengi.
Ata hakuna comparison Kenya na Bongolala.
Kenya ni worse than LDC, the way watu wenu wanaishi kwenye mabandaKenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.
Tunajenga na bado tunakopesha na kupatia vijana za biashara.
Nyinyi fanyeni pale uwezo wenu umefika.
Si basi muongeze zile pesa mnapatia your youth, ata waweze kufungua kiosk.Kenya ni worse than LDC, the way waty wenu wanaishi kwenye mabanda
Very ugly houses 😂😂Kwanza ukijenga utaonekana umechizi.
View attachment 3639378
Kenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.
Tunajenga na bado tunakopesha na kupatia vijana za biashara.
Nyinyi fanyeni pale uwezo wenu umefika.
Ata as usual, Kenya is offering 3 times more to its youth than Bongolala.
View attachment 3639381
Surplus imetokana na tourism imefidia, kwenye kuuza mazao ripoti inasema hatukufanya vizuri sana ila tourism ilikuja kufidia, hopefully mwisho wa mwaka, hata ivo congo surplus yao inatokana na madini meanwhile kwetu ni sekta nyingi zimechangia, kwa kifupi ela imetembea kwa watu wengiKwa style hii ya importation ya mabasi na trucks nilitegemea Tanzania ndo ingekuwa na deficit kubwa sana, lakini gap kinaendelea kupungua , mwakani effects za ongezeko la Kodi litakapokuwa lineshika hatamu tutegemee importation ya magari ya umeme kuongezeka na uagizaji wa mafuta kupungua hivyo surplus itazidi kuongezeka .
Mwaka huu ufuta haujafanya vizuri sana ila tutegemee bado kutakuwa na surplus
It's a monthly tax kama any other tax.Sio pesa yenu kwa sababu unakopeshwa na haizalishi bali inaendelea kukupa burdeni ya kulipa.
Tz 10 % ya council revenue inatolewa kwa ajili ya vijana kwa ajili ya kuwakopesha at zero interest kwa mwaka , in the long-run wanakuwa more independent kuliko nyinyi mnageuzwa manamba
Wenyewe wanawaza kulipa rent kujenga kwao ni kama muujiza 😂 😂Very ugly houses 😂😂
Tuliza ujuaji.Unanionesha nyumba zilizojengwa na companies for sale & rent?
Watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe. with different designs. Sio same designs kama ulizopost hapo