Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With all this nonsense you wrote here still watu wenu wako na maisha magumu na wanasumbuliwa na njaa, wanaishi nyumba zipo kama mabanda ya nguruwe
No wonder ulikimbia Kenya, I would have done the same
 

Huwa tunaenda kwa evidence , njia nzuri ya kuwa competent ni kukubali kujifunza .
Hapo nimekuwekea minimum plates mtu wa highway anaweza kuuza kwa siku na ni hesabu ya gunia moja tu na hapa nimekuongezea kuwa kuna wengine wanauza mpaka gunia 10 per day na hata zaidi.
Kuhusu kumenya na kukata viazi inabidi mjifunze sana, sasa hivi kuna mashine ambayo inaosha , inamenya na nyingine kukata kabisa viazi.

Happ umewekewa hesabu ya mtu mmoja mwenye maximum sales ya 150 plates , ambaye ana capacity ya kufikisha 62,000ksh per month hatujafika kwa yule 10 sacks per day
Na umeambiwa kabisa kuwa sales prices au totally daily sales itakuwa 300,000 tsh / 15,000 na profit ya not less than 50,000 tsh / 2500 ksh.
Unashangaa hao wachips vipi

View: https://vt.tiktok.com/ZS4NJt2Ax/
Nae hawez Jenga ghorofa au nae si street vendor
 
Ebu I screenshot Ile part niliyosema anaweza kuuza 10 bags? For what I know nilikuambia kuna baadhi wanaweza uza mpaka bags 10 sawa na 2000 sio wote na ni wale wako kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu kama universities , markets na maeneo kama kariaokoo mbagala sokoni.
Ila street vendor mtaani sehemu isiyo na movement kubwa wastani gunia moja na ndo hesabu inayopigwa ili tufike kwenye calculation za total monthly profit ya 62,000ksh huyu 10 bags sijataka kumuweka sababu sio minimum au the majority. Hapa tunaongelea majority ambaye hesabu yake inafikia 62,000 ksh per month acha kudiverty mambo
 
Those are people looking for jobs. How is that related with education quality. Kipelepele wacha kimbelembele.
Looking for jobs?
Umeamka, unaenda kukaa road the whole day in the name of "looking for job"?

You don't look for a job by sitting in one place the whole day doing nothing. It's not even good for their physical and mental health.
But given the poor standard of your education, it's unrealistic to imagine you can ever reach this peak of reasoning.๐Ÿšฎ
 
Arusha ikimaliza jenzi zake za miundombinu next year nadhani kimiundombinu itajismika kuwa jiji namba 2 behind Dar. Mpaka pale Dom naMwanza zitakapomaliza kujenga miundombinu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ