Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,663
- 107,089
Footballing nation wanashindwa kuwafunga hadi timu ya Somalia!🤣🤣🤣
Hata Ethiopia inajenga pipeline toka SS na refinery! Ngoja tuone watakayemuuzia!Hata uganda wanajenga ya kwao wenyewe sasa sjui mafala watamuuzia nan mafuta
Vile mlikuwa mnataka ijengwe Tanga kwani mlitaka kuuzia Nani? Ama ni vile sasa inajengwa Kenya then all over sudden soko imepotea?😂😂🤣Hata Ethiopia inajenga pipeline toka SS na refinery! Ngoja tuone watakayemuuzia!
Hawa wanakuanga Tu midomo Tu.Footballing nation wanashindwa kuwafunga hadi timu ya Somalia!🤣🤣🤣
huu mwaka mgumu sana kwa naislum,Hata Ethiopia inajenga pipeline toka SS na refinery! Ngoja tuone watakayemuuzia!