Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Tatu city nimeanza kuisikia tangu hata Kibaki hajawa Raisi bado inajengwa tuu na buildings hazionekani. Dodoma Magufuli City na suburb zake zimeanza juzi tuu na sasa ni jiji kubwa tuu.
Jjiji kubwa umesema.
Ukitoa majengo ya serikali inabaki nini?

Huko bongolala mmewahi jenga any private city? πŸ˜‚
 
Duh hiko ni kiwanja ama jaruba la mpunga mbona mnapenda vitu substandard sana nyie nyangau?
Tuonyeshe yenu standard Nyamwezi. Alafu hiyo training ground is still under construction just like everything else at Talanta sasa sijui mwasho ni ya nini
 
How this stadium will pass next month final checks no one knows πŸ˜‚
just a simple history














 
Unaandika sana mjomba utasababisha jangwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzigo wote ndio huo. πŸ‘‡πŸΎ
 
Kwa hivyo injinia unataka kusema it will cost more to add a bunch of overhead wires and weld a few joints, than to build the entire railway? πŸ˜‚
Wewe caretaker kuna mambo above your paygrade.

View attachment 3635074
This is no githeri brother. You need not only a bunch of overhead wires and poles, but you also need an electrical substation every 50 km along the line supported by multiple access points from the reliable national grid.
 
This is no githeri brother. You need not only a bunch of overhead wires and poles, but you also need an electrical substation every 50 km along the line supported by multiple access points from the reliable national grid.
sasa ivo utakua unawakatisha tamaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ ukizingatia umeme wenyewe wa kuwasha taa za washroom wanachukua Uganda, waambie tu jitahidi na nyie muweke ya umeme

 
Heb usizipe hadhi ambazo hazina, they’re not even close to be given a ward status. Hizo ni vichaka empty wanazotupigianazo kelele tu hapa, hatuna cha kujifunza kutoka kwa hizo empty fields.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti wanataka tujifunze kutoka kwa Konza na Tatu. Failed projects
Ni kweli hamna cha kujifunza. Sasa delegation ya wanyamwezi wenzenu walikuja kufata nini Konza kama hamna cha kujifunza kutoka huko?
 
I remember at one time kuna mtu aliniambia mradi ulianza toka kibaki mpaka leo haujaisha i was curious kwenda kuangalia what type of project was it πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ only to see how it looks online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…