Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya power story ni ndefu but the one actually providing power ni kampuni moja ya kichina i think, waliingia mkataba nadhan wa miaka 100 kitu kama icho, kenya power jina tu ila ambae anadeal na huo umeme ndo hio kampuni, ni story moja ndefu ivi ila we jua walipigwa na uku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ana matumaini sku moja watapata guta la umeme ๐Ÿ˜‚
Anahisi ni kuweka nguzo za umeme tu, hajui hata horizontal curves irabid warekebishe atleast ziwe 1900m kama za tz, wachomelee reli nzima, incab signalling systems , watahitaji waweze fence karibia eneo lote la reli
 
There is a big reason there whole life is spent here
 
Anahisi ni kuweka nguzo za umeme tu, hajui hata horizontal curves irabid warekebishe atleast ziwe 1900m kama za tz, wachomelee reli nzima, incab signalling systems , watahitaji waweze fence karibia eneo lote la reli
Hivi kwanini huwa hawana utaratibu wa kutumia Google kujielimisha zaidi ya kutumia uongo kutetea nchi yao?
Au wanafahamu ukweli ila ndo wanakaza fuvu! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ukweli wanaujua ila kwao kusema uongo ni kwa ajiri ya sifa na kutetea uongo.
Kenya ndo nchi pekee ambayo raia wake waliwasnitch waafrika wenzao kwa sababu ya maslahi ukianzia south Africa , Mozambique to angola
 
Tatu and Konza are ghost towns
 
Tatu and Konza are ghost towns
Heb usizipe hadhi ambazo hazina, theyโ€™re not even close to be given a ward status. Hizo ni vichaka empty wanazotupigianazo kelele tu hapa, hatuna cha kujifunza kutoka kwa hizo empty fields.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Eti wanataka tujifunze kutoka kwa Konza na Tatu. Failed projects
 
Buda huo uwezo haupo , badala ya maneno matupu wekeni umeme tuone kama bila marekebisho mengine mtaweza cruise kwa hiyo spidi
Kwa hivyo injinia unataka kusema it will cost more to add a bunch of overhead wires and weld a few joints, than to build the entire railway? ๐Ÿ˜‚
Wewe caretaker kuna mambo above your paygrade.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ