Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu na nyie achen ushamba ile sio mini stadium, its a training ground, na nyie wacheni ushamba sasa πŸ˜‚
Wewe ndio uwache ushamba Nyamwezi. Training grounds are not supposed to have spectator seats kijana wa Tandale. Take a look at the following training grounds of various football clubs in England

Arsenal

Chelsea


Liverpool


Back to business, Talanta has three training grounds in addition to the 2,000-seater mini-stadium

This one below is one of the training grounds at Talanta.

Unaona ikifanana na ile mini-stadium that has seats and a canopy?

Kubali tu kwamba maku yenu doesn't have a mini-stadium. All it has is a single training ground wakati Talanta has three of them
 
do 2 things
1) Lipia AI
2) Achana na mambo ya mpira kabisa yaani kaa nayo mbali, na mkiendelea soon uwanja mtajenga kwa $2B

and a bonus make sure you read to understand
 

Rudi shule kapeleleze ni nchi gani ambayo inaendesha railway line ambayo Ina handle both cargo and passenger trains inayoweza cruise above 160km/hr ikiwa na track moja.
Kuna standards za kimataifa.
Arema standards hairuhusu class 5 railway line ikiwa na single track kuwa passenger trains ambazo Zina cruise above 160km/hr.
Kuhusu double stacking.
Kwanini tuwe na double stacking wakati line inaruhusu single train kuvuta behewa kwa urefu wa 2000m or km versus the Kenyan sgr with maximum train length of 880m na maximum axle load of 25tone while tz has 35tones.
Ina maana a single Tanzania train can haul a maximum of 100 wagons or 200 , 40ft containers versus kenya sgr which can haul a maximum of 44 wagons or 88 containers , mkibeba double stack containers huwa ni empty containers na hakuna siku mmebeba containers zikiwa na mizigo kutoka Mombasa kwenda hinterland.
Ukitaka comparison ya mizigo comparison ya mizigo Anza kuhesabu kuanzia July this year ambapo ndo cargo section na transhipment imeanza kufanyika not otherwise.
 
You think Kenya's SGR will be the first railway to be electrified after already being built.
injinia from Tandale sit this one out. πŸ˜‚
Bado mnawaza kuweka umeme πŸ˜‚ move onphase 2 ishaanza na mwendo ni ule ule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeme wenyewe wa kutumia majumbani hamna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ngoja tukusaidie with preactical example, mambo ya mpira achana nayo kabisa, yaani kaa mbal

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/Touchtvke/posts/nyayo-will-be-a-training-ground-and-we-are-supposed-to-pay-ksh-39-billion-as-afc/1428042972667739/
 
You think Kenya's SGR will be the first railway to be electrified after already being built.
injinia from Tandale sit this one out. πŸ˜‚
Buda huo uwezo haupo , badala ya maneno matupu wekeni umeme tuone kama bila marekebisho mengine mtaweza cruise kwa hiyo spidi
 



View: https://www.youtube.com/shorts/xkhEba2atcY?feature=share
 
Wewe ukitaka ulie mjomba. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpumbavu mmoja kutoka kenya huna cha kutuambia.
 
Nchi iliyokosa direction
umeme wenyewe wa matumizi ya ndan tu wanatoa ethiopia na Uganda na apo bado umeme sio 24hrs πŸ˜‚
, huwez jisifia kuwa unaendelea kwa kutegemea umeme kutoka kwa jirani.
Huwa najiuliza hivi Leo tukisema tanesco iuze shares zake walau hata kwa 20% ,kuna kampuni east Africa itaweza gusa kwa capital iliyonayo. Imagine tu jhhp Iko na 5bil usd bado transmission lines na kadhalika sasa hawa Kenya power asset zao hata 3bil usd hawawez kuwa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…