Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ndugu zetu Uganda wanajua hawa mafala wa north ni debe tupu tuu...

I wish tungepata jukwaa la UG ambalo ni very engaging kama hili tuwe tunasumbuana na Ndugu zetu UG kwenye banter. Tuachane na hawa majirani mafala.
La uganda lipo. ila wale kilugha chao kigumu labda watu wa bukoba kule ndo wanaelewana nao! wakenya waongeaji ila maskini wa kutupa 😂😂 Ugandas arent rich but hawana umaskini ule uliopitiliza
 
i dont see anyhow huu uwanja unaenda kutumika, adding ontop of riots za election, Rwanda waandae tu uwanja
 
mad respect for that dude alisema upande huu utaanza kuoza ukiweka majani mengine, na kwel mambo yashaanza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…