stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,066
- 33,639
Name???Refer to previous conversations, how incoherent are you!
Wakenya wanaumia eti wanaagiza vitunguu vingi kutoka Tanzania
Well, kama munaumia sana si na nyinyi muende kulima vitunguu vyenu ili msiagize Tz. Hamuwezi coz Tz inawalisha masikini nyie 😂😂
View: https://vt.tiktok.com/ZSXVM1ygY/