ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,367
- 89,785
Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battleSidhani kama kuna haja ya kujenga international airport huko sumbawanga ni upotevu wa pesa
Vitaisha dogo ondoa shakaSongwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
Sina majibu coz am no longer mkenya,wapo wengi tu mnajibizana waulize au cheki kwenye website ya mamlaka ya barabara yao utapata concern yakonakuuliz wewe mkenya 😀😀😀😀
unapokuwa unajadili mada katika thread hii, kamwe usijaribu kuingiza emotion za siasa za ccm na chedema.Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
asante kwa hasira. [emoji23] [emoji23] [emoji23]spare us the time.....those are basic infrastructures
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]by th way, Kenya dos not hav mabati for airports bro
Kenya imefanikiwa kuingia katika kundi la middle income mapema kutokana na udogo wa population yake ukilinganisha na nchi kama Ethiopia, japo GDP ya Ethiopia ni kubwa zaidi, hii ni kwasababu walichukua absolute number ya pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu, kama wangetafuta percentage ya hiyo absolute number kama numerator over GDP, msingepanda kufikia lower middle income country, the best way ni kuchukua absolute number kujua serikali ipi inafanya kazi zaidiOk ndo hivyo but ukiweka percentage ya mtandao wa barabara utajua kama umejitahidi au unafanya marktime,sio sawa mwenye mtandao let say km 100 akajenga km 20 na ww mwenye km 250 ukajenga km 30 then ujisifu,sio sawa
Na ndio maana tulikwambia wee ni mkenya unaejifanya mbongo idiotSawa lakini kipi kinaleta tija au pesa zaidi kati ya hizo stand na airports? Yaani viongozi wa halmashauri ndo akili zao za planning zimeishia hapo kwenye stand?
Google hamna such pictures nadhani such projects don't exist.tukuekee picha ya nini??? google huna
Tumieni hiyo method kuingia middle income then ndio muache kutusumbua.Kenya imefanikiwa kuingia katika kundi la middle income mapema kutokana na udogo wa population yake ukilinganisha na nchi kama Ethiopia, japo GDP ya Ethiopia ni kubwa zaidi, hii ni kwasababu walichukua absolute number ya pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu, kama wangetafuta percentage ya hiyo absolute number kama numerator over GDP, msingepanda kufikia lower middle income country, the best way ni kuchukua absolute number kujua serikali ipi inafanya kazi zaidi
Wewe unajuwa Tanzania kuniliko mimi? 1500 Km ndiyo yenu.kutoka Tarime hadi mtwara tu ni km1900.
Tunaogopa tukiingia huko tutaanza kupewa donations za vyakula, bora tubaki huku huku tusikutane na aibu ya kufa kwa njaaTumieni hiyo method kuingia middle income then ndio muache kutusumbua.
Peleka huko hizo vijibarabara vyenu vya vumbi na mashimo.Tanzania ni kubwa mara mbili size ya Kenya, hiyo maana yake ni kwamba 10% ya barabara za Tanzania, urefu wake ni sawa na 18% ya barabara za Kenya, kwahiyo kila kipimo unachotumia lazima ujue tafsiri yake. Tunapolinganisha urefu kwa kilometa, lengo ni kujua ni nchi gani imejenga barabara nyingi zaidi, hiyo italeta maana nzuri kuliko percentages.
Hahahahahahaha... It's either your way or the Highway?unapokuwa unajadili mada katika thread hii, kamwe usijaribu kuingiza emotion za siasa za ccm na chedema.
wala usijaribu kuonyesha chuki yako kwa JPM au utawala wake, utapasuka kichwa.be neutral about politics.
hata wakenya japo wanatofauti zao za kikabila na siasa, kwenye thread hii wanajaribu kubaki katika agenda moja.
nakushauri hili baada ya kugundua kuwa kila unachokiandika na kukikosoa, kina mihemuko fulani ya uchadema ndani yake(wazee wa kukosoa kila kitu).
ni hiyari yako kuukubari ushauri wangu au kuupuza.
Wacha Sisi tukae huko tupokee misaada ya Chakula bora tusiwe level moja na LDC.Tunaogopa tukiingia huko tutaanza kupewa donations za vyakula, bora tubaki huku huku tusikutane na aibu ya kufa kwa njaa
Kenya: 3 Million Remain Dependent on Food Aid in Wake of Drought | Worldwatch Institute
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Ninyi hamuheshimiki duniani, mnadharauliwa sana kwasababu hiyo ya kuomba na kupewa chakula cha bure, mnalishwa kama mbwa, ndiyo sababu mnawaogopa wazungu, wakitishia kidogo mnatoroka kupiga kura.Wacha Sisi tukae huko tupokee misaada ya Chakula bora tusiwe level moja na LDC.
Yaani hawa jamaa aiseeh,alafu kelele nyingi humu.
Kenya Receives Relief Food Donated by U.S.Wacha Sisi tukae huko tupokee misaada ya Chakula bora tusiwe level moja na LDC.