NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,156
- 19,430
Mbona sikuizi hawapost Viti vya Talanta wakisema ni substandard?😂😂
Mbona sikuizi hawapost Viti vya Talanta wakisema ni substandard?😂😂
So? mbona Ukunduni kulikuwa na Kenyatta snr na jarTuko vizuriiii
View attachment 3628963
yeah nlimuona, however ni swala la branding tu, si unajua wakenya kwa wizi hawajambokuna clip iliwekwa jana mtu wa utalii analalamika kuhusu watalii wa Serengeti kuingia toka Kenya ipo wapi?
Must you always compare everything that happens in your country with Kenya?So? mbona Ukunduni kulikuwa na Kenyatta snr na jar
Nitumie hiyo link! Naitafuta! Lazma tuwapige pin Hawa mbwa!yeah nlimuona, however ni swala la branding tu, si unajua wakenya kwa wizi hawajambo
Ukweli ni kwamba vinafanana, labda kwasababu mercedes Benz stadium ipo USA na nyinyi wakenya mkisikia USA huwa mnapaparika sijajua ni kwnn mpo hvyo.Umesema Arusha Mercedes Benz stadium
😂😂😂
Hiyo ni obvious hata wewe unajua.Mbona sikuizi hawapost Viti vya Talanta wakisema ni substandard?😂😂
Hao ni small scale gold miners sio serikali 😢Msafara? 🤣🤣🤣🤣

Hao ni small scale gold miners sio serikali 😢
View: https://www.instagram.com/reel/DasshaQM9-T/?igsh=aTJiMm1iNGx1bTV3
Minyamwezi walidhani wangepata foldable seats uwanja wote only to get elongated bakuli seats squeezed side by side. Hadi kufikia Sasa, sijaona hata shadow moja ya foldable seat kule vichakani 🤣🤣🤣Mbona sikuizi hawapost Viti vya Talanta wakisema ni substandard?😂😂
Alafu with such a masterpiece illuminating the Nairobi sky at night, CAF wapeleke fainali kwingine!
View attachment 3629040![]()
37K views · 2.2K reactions | ✨The stunning façade lighting is a true masterpiece! 🏟️💡🇰🇪🌙 The nights just got brighter! #TalantaStadium #RoadToAFCON2027 | Talanta Sports City Stadium
✨The stunning façade lighting is a true masterpiece! 🏟️💡🇰🇪🌙 The nights just got brighter! #TalantaStadium #RoadToAFCON2027www.facebook.com
Only three blue towers remaining Mombasa imalize mambo 😂😂