Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Conference center ya watu fudenge πŸ‘‡πŸΎvs MKICC πŸ‘‡πŸΎ..
kitu kimoja kuhusu Tanzania na kujenga designs za unyama tumetengwa.. beauty ndio kitu tunazingatia .. wakunya sijui wamejenga nyumba ya msonge, designs za nyumba za kiswahili kule Tanga na mombasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Still tunahitaji refinery yetu kwa jinsi deception iliyofanyika ku-win the deal by Kenya usitegemee energy security toka kwao! Tusijidanganye!
 
Baada ya hii Arusha itakua haikamatiki, kwa miradi na ujenzi wa majengo marefu unaoendelea Arusha, kiukweli wakimaliza watajiweka kwenye nafasi nzuri mtu ya walau jiji namba mbili kimaendeleo hapa Bongo.
Tatizo Tz sijui tunashida gn, majengo mazuri yanatawanywa tawanywa hovyo hovyo badala yawekwe seem moja, hiyo centre ilipaswa iwekwe karibu na lile jengo la PAPU.
 
Tatizo Tz sijui tunashida gn, majengo mazuri yanatawanywa tawanywa hovyo hovyo badala yawekwe seem moja, hiyo centre ilipaswa iwekwe karibu na lile jengo la PAPU.
Not necessary, infact i prefer sehem moja iwe na design moja ya majengo, mfano center arusha obviously inatakiwa kua pale ngorongoro building, so means pale ndo waweke majengo ya quality zinazofanana, sio kama naislum apo apo guest house apo apo car wash
 
Tayari kuna miradi miwili ya majengo marefu inakuja kuongeza nguvu pale. Yote ipo U/C.
 
Tanga already has a very crucial oil pipeline and a running port that is progressively developing .
If you were smart enough, you would be honest with yourself; why did Tanzania reject Ruto-Dangote' s refinery proposal?
Why did Tanzania reject? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Do you have proof of this? Ama huku ndio kujifariji imekufikisha?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walio na akili zao ndio hawa ndani ya skybox
 
Halafu utakuta ya Ukunduni gharsma ya ujenzi ipo juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…