ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,951
- 89,161
π¨π¨π¨Watanzania ama warabu?
wanaelewa ila hali yao sasa ni mbaya watawekeza nnπ¨π¨π¨
Kiswahili mnajifanya hamuelewi soma kizungu uelewe hapa π π
View: https://www.instagram.com/p/Danq7POlbl-/?igsh=MW53Zzh3eTU0MzMwOA==
Tanzania inamiliki Uchumi wa Kundustan,lazima waelewe tuu ππwanaelewa ila hali yao sasa ni mbaya watawekeza nn
unadhan hawaelewi, ubishi tuTanzania inamiliki Uchumi wa Kundustan,lazima waelewe tuu ππ
View: https://www.instagram.com/p/Danln3jEimm/?igsh=MXYya2I2ejlnejRoeA==
Are these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
hapo hakuna ata mechi moja imechezeka π πAre these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
Yani wameshaanza na message za pre election uncertainities kabla ya AFCON!!!!!!!!!!!!!!! Kagame andaa uwanja fasta.
So when the construction begins this year , whatchu gonna do . Call it AI ???.. π€£π€£π€£
Kwani ulitaka capital seed itolewe within days? Site enyewe hata bado haijaonyeshwa lakini wewe ushaanza kushikwa na baridi tayari.Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado..
Plan yenu ni gani?π€£π€£πNa hapo bado uhakika wa soko la mafuta bado halijapatikana maana nchi nyingine za EA Zina plan zao binafsi.
Hivo ndio Dangote amekuambia?πππ€£Na ndio maana financing ya hiyo refinery bado ni utata