ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
why not kibera the biggest poor slum in the world😀😀😀😀😀😀😀Kwa hivyo huu ushindani peleka tandale na manzese,sehemu tupwa Dar is slum
why not kibera the biggest poor slum in the world😀😀😀😀😀😀😀Kwa hivyo huu ushindani peleka tandale na manzese,sehemu tupwa Dar is slum
Brookside zimeishia namanga ...bongo hazipo trust memtakunywa brookside milele hizo zingine ni ovyo tu
wazungu ndio mabwana zako?.Hata wazungu hawajui kuna kijiji kiitwacho Tanzania,ilhali Kenya inajulikana kote dunia nzima

Umesahau kasi ya wanaume Kenya wanavyoolewa na wazungu?wazungu ndio mabwana zako?.![]()
![]()
![]()
Unaongea kama umeshikiwa WembeMagorofa tunayoyahenga sio eti nani aliye na gorofa ndefu kushinda mwingine,(kama vile nyie na ulimbukeni wenu na porojo mnavyofikiria)Ni majumba marefu marefu kwa ajili tuko na wealthy middle na upper middle class plus Kenya inaongoza Africa nzima kwa multinational corporations .Hivi nyie magofu ya kuokotwa na kutupwa za mzizima towers,na gorofa tupwa tupwa za Tpa na pspf zitakaliwa na nani?Naona ni historia itakavyokuwa kama ponte city apartments miaka iliopita.Pinnacle kwa sasa kwenye jengo la hoteli maharufu ya Hilton tayari iko 100% taken, that is 45 storey smaller arm,while the 70 storey arm b4 hata marketing ianze,liko 50% booked!!!


Nairobi maarufu dunia ipi mkuu?don't tell me huo upuuz again...Kadoda bby,jua kwamba jiji la Nairobi lina umaharufu mkubwa kote dunia nzima,hivi je kijiji cha walatope cha Dar is slum nani kajua?
Huwezi compare ukwasi na umaharufu wa Nairobi na vitu hivi hivi,Nairobi ina historia yake halisi .
Maneno ya kujifarijitrue....kwanza a Kiberan probably has more money than a tanzanian...nikama tu vile homeless people in the US are richer than Kenyan homeless...or blacks in US ghettos ar wealthier than those in Kenyan ghettos
Alikiba anaenda kukusanya mi hela atakapo rudi akifika tu jnia tunaanza kuzinyofoa loh!i have noticed that for any public or commercial event in kenya to be completed, they must announce the presence of a tanzanian music entertainer.
go go ali kiba, bring back home those kenyan money.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

That's exactly my point... He's just an ordinary person so how do we know if that information is true or he just made it up lolare all kenyans on twitter verified?.
something isn't working ok in your head.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hiyo info iweke hapa kaka ili kila mtu aisome mwisho wa siku tuanze kuheshimiana.Kiukweli mnachowafanyia wakenya siokitu kizuri
Hii battle imewakalia pabaya
Niko na info hatari sana juu ya Kenyatta. Time will tell
Haha lmao
wameongezeka walikua 2.5m sasa 2.7m 😀😀😀while they talk too much about tz being an LDC, 2.7 million kenyans live in disease infested area of kibera slum.smh.
![]()
Usafiri bila barabara ama hizo daladala zina mabawa?Mgonjwa nani kati ya anaetumia ardhi nzuri kulima maua afu analala njaa na mtu anaejenga stend usafiri unaotumiwa na most tanzanians ????
hahaha.wameongezeka walikua 2.5m sasa 2.7m 😀😀😀
aliekwambia barabara hakuna nani, bogus😀Usafiri bila barabara ama hizo daladala zina mabawa?