Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona vitu wameongelea hapo? Sio exterior designs yenye umekwamilia.
Hiki ni nn 👇👇
Na kama ni hivyo, mbn wajenge uwanja mpya na kuachana na OT, c wangeu renovate waweke facilities mpya uwe wa kisasa? Ww pia usini quote kwenye issue ya stadium uelewa wako kama yule mwenzio.
 
Other than your God-given raw minerals, you export nothing else. (90%+ of your exports in usd are minerals).
Kenya has no minerals to export, na bado tunawakimbiza. Bongolala nyinyi.
99% of our exports are things we have produced or made.
 
kwahiyo lile turubai pale Talanta ndio modern?
Yes it is modern in every aspect. Right from the most important part of a football stadium- the playing surface. Wakati nyinyi mmepanda natural grass, Talanta has a hybrid system. Which one is modern between the two?
 
It is a fact kijana wa Tandale. Verifiable fact, sio story za vijiweni.

On the flip side, did the Chinese built a vagina in the name of a stadium and told you Nyamwezis that it's modern than European stadiums like Allianz Arena? 🤣🤣
Not Alianz Arena ,
Mercedes Benz, Atlanta.
 
Dodoma is Transforming to the Modern city fast than people think,
Miaka 10 Ijayo Dodoma itakuwa ni level zingine kabisa Ukanda huu wa Africa Mashariki
 
Hiki ni nn 👇👇View attachment 3625622
Na kama ni hivyo, mbn wajenge uwanja mpya na kuachana na OT, c wangeu renovate waweke facilities mpya uwe wa kisasa? Ww pia usini quote kwenye issue ya stadium uelewa wako kama yule mwenzio.
Structural haimanishi exterior cladding of the building pekee. Elimu yako imefika wapi lakini? Cause it seems you are not educated at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…