Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli wewe ni mjinga, hapo ni kwa stands? Unatuonyesha pitch side LED Board which every stadium haveπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

We are asking for things like this πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Modernity of a stadium is about features, what features does Arusha Stadium have to make it modern?πŸ˜‚πŸ˜‚
Siumeona, nilisema mm mtasema namna hii kwasabu nyie watu ni washamba, unajua fika kwamba technology ya led imeanzia Tz kwa east and central Africa, kama ilivyo VAR, na ndiyo mana unalazimisha iwe juu, kwamba hii sio led kwasabu ipo chini au sio πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Huyo jamaa ni mshamba haelewi vitu mingi kuhusu stadium. I think all Tanzanians just lack exposures.
Sasa lazma waforce ati wako nayo πŸ˜‚ I think It's called LED ribbon boards , one of the features of a modern stadium




 
Wakenya kumbe ni washamba sana aisee sikuwa najua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Let's start with OT. First, yes, OT is a modern stadium.

Talanta might or might not come close to OT depending on how you look at it. And yes, Talanta iko na facility inashinda nayo Old Trafford japo ni moja. Old Trafford doesn't have a computerized hydraulic tension cable roof- lifting system, kitu Talanta stadium iko nayo. Wewe nitajie kitu Samia stadium inazidi nayo OT hapa tuone kama utapata.
 
Is this what the Chinese building Atlanta stadium told you ?
It is a fact kijana wa Tandale. Verifiable fact, sio story za vijiweni.

On the flip side, did the Chinese built a vagina in the name of a stadium and told you Nyamwezis that it's modern than European stadiums like Allianz Arena? 🀣🀣
 
All Modern Stadiums have permanent LED boards in the stands. Wewe unatuonyesha vitu vya kuweka time ya game alafu game ikiisha inatolewa.


Hata Hoima Uganda is more modern than your so called "Arusha Modern Stadium"



Amahoro
 
Nyinyi kwenu led mmeanza kuiona juzi juzi tu apa, sisi kwetu ilikuja kitambo ndomana unashangaa mpaka ss.
None of your stadiums have a Fascia LED in short.

So how can Arusha Stadium be modern when it lacks the common feature in all the modern Stadium?
 
Nyinyi kwenu led mmeanza kuiona juzi juzi tu apa, sisi kwetu ilikuja kitambo ndomana unashangaa mpaka ss.
Jibu swali nyamwezi. We are talking about stadium modernity here. Does Arusha stadium have LED ribbons? (Those ones found high up on the terraces) Yes or no
 
All Modern Stadiums have this ribbon. Hao bado wanasema LED boards kando ya pitch pekee alafu wanasema wako na modern stadiumsπŸ˜‚πŸ˜‚
There's nothing morden about that thing build in Arusha countryside. Uwanja yenyewe wamepanda natural grass sisi yetu ni hybrid system na bado tunaambiwa yao ni modern!🀣🀣🀣🀣
 
Kwa reason za kishamba kama hizi bado unataka debate na mm? Hutoshi wewe na naomba kwenye hili la stadium usini quote tena, mm huwa sipendi kujadili kitoto na kiushabiki, tafuta mashabiki na watoto wenzio, mm ni mtu mzima najadili kikubwa.

 
Stadium Yao haina Skyboxes yet they want to talk about modernity πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.
They still maintain iko nayoπŸ˜„πŸ˜„ Ukiwauliza wakuonyeshe wanasema wao watanganyika hawana tabia ya kupiga picha sana na kuleta mitandaoni! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanasema wamepanda hybrid grass na hazioti, wakenya bhn ni kituko kweli kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Macroeconomic IndicatorTanzania (2025)Kenya (2025)
Total Goods ExportsUSD 10,262.9 million
USD 6,400.0 – 6,600.0 million
Total Goods ImportsUSD 14,787.7 million

(Up 4.2% YoY β€” tightly managed)
~USD 19,000.0 – 20,000.0 million

(Structurally high industrial/energy reliance)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…